Bodi ya mikopo

Bodi ya mikopo

Bulah

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
246
Reaction score
57
Eti waungwana... Bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa wale ambao ni fresh frm xul tu??? Nihabarisheni mlio karibu na newz
 
huwa wanatoa kwa wote provided umeomba na umefikia vigezo
<br />
<br />
"nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu
 
Eti jama hata kama unaxoma chuo cha private unapata mkopo?
 
kumbe una majibu afu unauliza. mwaka jana ilikuwa sio razima fresh frm school. kama ndo utaratibu mpya umetangazwa ndo utuambie. na nani katangaza?
 
Kuanzia mwaka huu,utaratbu ni kwa form six 2,equevalent qualifications wamekua excluded...cjui hi nchi 2naelekea wap kwa kweli.
 
"nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu
mkuu hapa na shaka mbona waliandika kwenye link yao kuwa ni mtu yeyote anaeingia chuo au aliyeko chuo sasa mkuu mbona hazina uhakika wowote habari zako...
 
Back
Top Bottom