Bodi ya mikopo

Bodi ya mikopo

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
jamani mwenye taarifa atujuze kuhusu bodi ya mikopo washaita watu kwa ajili ya inetrview au wanaita lini kwa anayejua naomba kuwasilisha
 
Kazi za siku hizi zilivyo za kujuana unaweza kuta watu washaanza kazi
 
Aise kuwa mjasiriamali,kaz ni noma kamanda!
 
zile nafasi zilikuwa na watu ni hivi kulikuwa na watu wanafanya kama casual labour then ili waajiriwe ilitakiwa nafasi zitangazwe so walifuata utaratibu huo wakutangaza ila walioajiriwa ndo hao waliokuwa wanafanya kazi humo.pole sana ndiyo tanzania yetu hiyo
 
Tafta sehem nyingne pale wenyewe wameshachukua nafasi zao.
 
Back
Top Bottom