Bodi ya mikopo

Bodi ya mikopo

Dimple Jerry

Senior Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
118
Reaction score
11
naamin wote mu wazima,bodi ya mikopo imetoa taarifa kuwa watu waanze kuomba mikopo kwa mwaka wa na kwa wale wanaoendelea kuanzia tar 1 mei mpaka 30 juni.Mimi niliomba mwaka jana lakini sikupata naomba kwa yule anaefaham utaratibu ulivyo anielekeze ili niombe tena
 
unaomba kama kawaida as first time applicant sema tu hulipii ile ada ya elf 30 kwa mara ya pili
 
Hawa heslb waweka hiyo taarifa yao kwenye mtandao ili watu wasihangaike,kwani hawajaweka taarifa yoyote.
 
naomba kuuliza hv cc 2liokosa mkopo mwaka jana , sasa hv 2talipa tena hiyo elfu thelethini tena? n pia viambatanisho ni vile vile kama vya mara ya kwanza?. naombeni msaada kwa wale mnaojua.
 
Back
Top Bottom