MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Jan 23, 2012 #1 Hawa jamaa walitutangazia nafasi kibao tangu last year mwishoni, washaita watu kwa intavyuu. Mwenye taarifa kinachoendelea tafadhari atuwekee hapa.
Hawa jamaa walitutangazia nafasi kibao tangu last year mwishoni, washaita watu kwa intavyuu. Mwenye taarifa kinachoendelea tafadhari atuwekee hapa.
erique JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 584 Reaction score 573 Jan 23, 2012 #2 Watu walishaitwa na wameshafanya Interview wiki iliopita pale DIT.Wiki hii watawaita wale waliopata maksi za juu
Watu walishaitwa na wameshafanya Interview wiki iliopita pale DIT.Wiki hii watawaita wale waliopata maksi za juu
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Jan 24, 2012 #3 duu ni kweli jamani au
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,204 Jan 24, 2012 #4 mwana mnyonge said: duu ni kweli jamani au Click to expand... hahahahah,uliomba nin?
MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Jan 24, 2012 Thread starter #5 Asante kwa taarifa. Sasa naifuta HESLB rasmi kwenye list yangu.
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Jan 24, 2012 #6 Bajabiri said: hahahahah,uliomba nin? Click to expand... niliomba loan repayment
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,102 Jan 24, 2012 #7 Ukiona manyoya ujue ------
Zinedine JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 1,187 Reaction score 694 Jan 25, 2012 #8 MwanaCBE said: Asante kwa taarifa. Sasa naifuta HESLB rasmi kwenye list yangu. Click to expand... Siku nyingine Ukituma maombi ya kazi, baci uanzishe urafiki na muuza magazeti!
MwanaCBE said: Asante kwa taarifa. Sasa naifuta HESLB rasmi kwenye list yangu. Click to expand... Siku nyingine Ukituma maombi ya kazi, baci uanzishe urafiki na muuza magazeti!