Bodi Ya Mikopoooooooo

Bodi Ya Mikopoooooooo

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Posts
1,771
Reaction score
804
Hawa jamaa walitutangazia nafasi kibao tangu last year mwishoni, washaita watu kwa intavyuu. Mwenye taarifa kinachoendelea tafadhari atuwekee hapa.
 
Watu walishaitwa na wameshafanya Interview wiki iliopita pale DIT.Wiki hii watawaita wale waliopata maksi za juu
 
Asante kwa taarifa. Sasa naifuta HESLB rasmi kwenye list yangu.
 
Back
Top Bottom