M Maftago Member Joined Aug 13, 2012 Posts 50 Reaction score 1 Jul 29, 2013 #1 Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli?
Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli?
NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,796 Jul 29, 2013 #2 Maftago said: Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli? Click to expand... Mi sijakuelewa, unaongelea wanaoomba kwa mara ya kwanza au wanaoendelea na chuo.
Maftago said: Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli? Click to expand... Mi sijakuelewa, unaongelea wanaoomba kwa mara ya kwanza au wanaoendelea na chuo.
M Maftago Member Joined Aug 13, 2012 Posts 50 Reaction score 1 Jul 29, 2013 Thread starter #3 Taarifa nimepata Kwa wanaoendelea, sina uhakika na wanaoanza
Sadock Lazaro Member Joined Apr 28, 2013 Posts 69 Reaction score 5 Jul 29, 2013 #4 mimi cjakuelewa, nyosha maelezo
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jul 29, 2013 #5 sasa wewe kama ujarenew mkataba watajuaje unaendelea na chuo jaza upya lakini wewe unatumia continuining na lazima ukumbuke namba yako ya F4 sawa..
sasa wewe kama ujarenew mkataba watajuaje unaendelea na chuo jaza upya lakini wewe unatumia continuining na lazima ukumbuke namba yako ya F4 sawa..
M Maftago Member Joined Aug 13, 2012 Posts 50 Reaction score 1 Jul 29, 2013 Thread starter #6 Ni kwamba kuna tetesi kwamba inabidi kucomfirm kama utaendelea kutaka mkopo licha ya zoez la mara y kwanz.
Ni kwamba kuna tetesi kwamba inabidi kucomfirm kama utaendelea kutaka mkopo licha ya zoez la mara y kwanz.
M milinga godfrey Member Joined Aug 13, 2012 Posts 18 Reaction score 0 Jul 29, 2013 #7 wadau naskia tetesi sio za kweli bt kuondoa shaka waweza rudia bla shd!
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Jul 30, 2013 #8 Taarifa waliyotoa jmosi kwenye web yao mwisho ni tarehe 31
Wa Bagamoyo Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 118 Reaction score 12 Jul 30, 2013 #9 Acheni upuuzi mbona hamna tangazo ka hilo kwenye website ya bodi.
K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Jul 30, 2013 #10 Huo ni uzushi na bodi wamekanusha vikali taarifa hizo,wametoa tangazo la kukanusha mchana leo hii,tembelea website yao.
Huo ni uzushi na bodi wamekanusha vikali taarifa hizo,wametoa tangazo la kukanusha mchana leo hii,tembelea website yao.
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 319 Jul 30, 2013 #11 Sio kweli somaHAPA