Bodi ya Mkopo jamani.

Bodi ya Mkopo jamani.

Maftago

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
50
Reaction score
1
Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli?
 
Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli?

Mi sijakuelewa, unaongelea wanaoomba kwa mara ya kwanza au wanaoendelea na chuo.
 
Taarifa nimepata Kwa wanaoendelea, sina uhakika na wanaoanza
 
sasa wewe kama ujarenew mkataba watajuaje unaendelea na chuo jaza upya lakini wewe unatumia continuining na lazima ukumbuke namba yako ya F4 sawa..
 
Ni kwamba kuna tetesi kwamba inabidi kucomfirm kama utaendelea kutaka mkopo licha ya zoez la mara y kwanz.
 
Taarifa waliyotoa jmosi kwenye web yao mwisho ni tarehe 31
 
Huo ni uzushi na bodi wamekanusha vikali taarifa hizo,wametoa tangazo la kukanusha mchana leo hii,tembelea website yao.
 
Back
Top Bottom