KERO Bodi ya mkopo mfumo wenu wa olams unamatatizo gani kwa waombaji wa diploma?

KERO Bodi ya mkopo mfumo wenu wa olams unamatatizo gani kwa waombaji wa diploma?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao.

Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa kushughilikia mfumo ili wanafunzi wa DIPLOMA wakamilishe maombi yao jamaa hawajigusi hata kidogo.

BODI YA MIKOPO wasikilizeni wateja wenu, muda unakwenda na mwisho ni tarehe 31 Agosti, 2024.
 
Mbona leo nikitaka kuingia kwenye account yangu haiwezekani?
Wajuvi nisaidieni shida ni nini?
 
Back
Top Bottom