nikizungumkuti ambacho mpaka sasa hakieleweki nani mchawi bodi ya mkopo kwani wanafunzi wapatao 400 ambao wanaendelea na masomo na walikuwa wanapata mkopo tokea mwaka wao wa kwanza ila tangu waanze mwaka huu wa masomo october mpaka leo hawajapewa pesa za kujimu wakienda bodi wanambiwa tatizo lipo chuo wakirudi chuo wanambiwa tatizo lipo bodi kwaiyo mpaka sasa hawajui nani mchawi je bodi au saut