Bodi ya mkopo vs saut mwanza

Bodi ya mkopo vs saut mwanza

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
nikizungumkuti ambacho mpaka sasa hakieleweki nani mchawi bodi ya mkopo kwani wanafunzi wapatao 400 ambao wanaendelea na masomo na walikuwa wanapata mkopo tokea mwaka wao wa kwanza ila tangu waanze mwaka huu wa masomo october mpaka leo hawajapewa pesa za kujimu wakienda bodi wanambiwa tatizo lipo chuo wakirudi chuo wanambiwa tatizo lipo bodi kwaiyo mpaka sasa hawajui nani mchawi je bodi au saut
 
may be hela zinazungushwa benki kwanza zikizalisha faida ya kutosha watapewa!
 
Back
Top Bottom