Bodi ya PSSSF kutenguliwa: Kama hii ni kweli, we need to do more!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Samia amevunja bodi ya wadhamini ya PSSSF kwa sababu iligoma kupitisha kutoa fedha za wastaafu kwenda kujenga uwanja wa ndege Serengeti ili kuboost biashara zake na mtoto wake.

Bodi ilikataa kwa kudai mradi huo hauwezi kurejesha hizo fedha wakati kuna wastaafu wengi wanadai hela zao na wanazungushwa.

Mkandarasi wa kujenga uwanja katafutwa na Abdul kwa hiyo bodi ilipokataa kupitisha, Abdul akamwamuru kimama aifute, akaifuta.

Awali waliondoa wakurugenzi wote na kuwarejesha utumishi ili kuweka mwanya wa kuchota fedha hizo. Haikusaidia maana bodi iliendelea kukataa.
 
Soma mwenyewe
Mkuu usiingie kwenye propaganda za CCM. Huko tayari wanapambana international airport ianze Mwanza au Serengeti. Wapinzani kwanini tunaingia kwenye mijadala ambayo ni ya kimaslahi ya CCM pekee.

Uwanja wa serengeti kujengwa ni muhimu kama ulivyo wa Mwanza ila sielewi kwanini propaganda zinakua nyingi kuzuia serengeti kupata airport hata kama sio hadhi ya international.

Please tuachane na vita za makundi ya CCM hakuna kweli hata moja hapo. Nyansaho ambaye kwa sasa waziri ni wa ulinzi alishakua mkurugenzi mkuu wa PSSSF. Kama wangetaka hili basi Nyansaho angefanikisha alipokua mkurugenzi sababu ni rafiki wa karibu wa Rais, why now ambapo wameshamuhamisha ndio yatolewe shutuma kama hizi?

Hizi ni propaganda za CCM achana nazo.
 
Kuna mpango wa kujenga uwanja wa ndege Serengeti? Hivi ni kweli kuwa kuna mpango wa kujenga SGR kati ya Arusha na Musoma? Kama vyote ni kweli, basi Serengeti ndio inauliwa.

Amandla...
 
Hear saying..kama upinzani ndio huu mtasubiri sana
Ukifuta kazi board bila kutoa sababu, watu watazitafuta sababu. Ukijikuta wamekuwekea sababu ambazo sio za kweli ujue uliyataka mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…