Wanajamvi taarifa nilizonazo ni kuwa wale Wanafunzi wa8 ambao walikuwa wakiwaongooza wanafunzi wenzao wa Kiislamu kumshinikiza Mkuu wa Shule hiyo atoke au ahamishwe leo wamesimamishwa masomo mpaka tarehe 27/11/2012.
Siku ya Ijumaa Shuleni hapo kulitarajiwa kuwe na ugeni Mkubwa kutoka Wizarani uelezee hatma ya sakata hilo.
Lakini dakika za mwishoo saa 9 Alasili wanafunzi wakatangaziwa kuwa Viongozi hao hawatafika.
Mkuu wa Shule hiyo inasemekana ameendelea kuwaomba samahani Wanafunzi Mstarini na mmojammjoja pale anapokutana nao.
Amewasihi wamsamehe kwani yeye ni Binadamu amekiri kosa lake na hato rudia tena.
Pia Familia yake haipo hapo Shuleni,magari yake mawili huwa anayaondoa kila ikifika jioni na kuyarudisha Asubuhi.
Hiv sasa hapo Shuleni kuna Gari moja ya Polisi kwa ajiri ya kuhakikisha hao vijana wanaondoka bila fujo.
Mkuu wa Shule anaonekana ana mawazo sana ,hajui hatma yake