Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Wakati wa Uchaguzi wa Uongozi mpya wa Shule ,baada ya Wanafunzi kuomba nafasi mbalimbali za uongozi wakapitishwa majina ya kila idara ya watu wawili ambao ni Mkwisto na Muislamu. Hapo kabla ilikuwa wanagombea watu watatu kwa kila idara akaibadirisha wakawa wawili (tatizo la kwanza) ,Ikumbukwe hapo Shuleni kuna wanafunzi takribani 720 ,Waislamu ni kama 140 tu.Hivyo Waislamu wakaona huyu mkuu anaajenda yake ya siri ,Kwanini wawili badara ya watatu,kwanini mkwisto na muislamu badara ya vigezo vilivyowekwa .Wakaaamua kujitoa .

Kama kwenye red ndiyo msingi wa tatizo huyu Mwalimu Mkuu anatakiwa kufungiwa jiwe shingoni na kutupwa katika kilindi cha bahari....What a stupid Head Teacher
 
Hivi siku hizi adhabu ya viboko na kuchimba mashimo iliisha? Hawa kabla ya kusimamishwa ilibidi wapange mstari alafu wanapita mbele ya kila mwalimu wanapata viboko vitatu kutoka kwa kila mwalimu wanamalizia na vinne kutoka kwa mwalimu wa nidhani. Wakifika nyumbani wawaonyeshe wazazi wao.
 
Yaani km Shule yenyewe ndio hiyo huyo Mkuu wa shule Bonus Ndimbo akimbie tena haraka sana hawa jamaa ni lazima watamrudia tu maana wana umoja na wakiamua hawarudi nyuma. Wameshasema wana Msikiti hapo Sekondari wameshamtishia usiku kwa Mapikipiki anangoja nini?
Link yenyewe ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nzi-wa-sekondari-ya-bagamoyo-moani-pwani.html
Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia yake kuhofia usalama wa maisha yake.
Hata hivyo habari zilizopatikana shule hapo zinaeleza kuwa mgogoro huo ulianza wakati wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi.
Wakati wa uchaguzi huo walijitokeza wagombea wawili wa nafasi ya Kilanja Mkuu wa Shule, Answal Abdul na Emmanuel Mmari ambao walikuwa wakichuana nafasi hiyo. Wote ni wanasoma kidato cha tano.
Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kampeni zilipoanza wanafunzi wa Kiislamu ambao baadhi yao ni viongozi wa msikiti uliopo shuleni hapo, walianza kumpigia kampeni mgombea wa dini yao na wa dini ya Kikristo walianza kufanya hivyo.
Habari zaidi zinaeleza kuwa wakati kampeni zikiendelea, inadaiwa Mkuu wa Shule aliwasihi wanafunzi wa Kiislamu waache kupiga kampeni kwa kufuata misingi ya dini.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule.
"Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi," alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo.
Hivi huyu kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani alipatikana vipi??Kama majibu yake mepesi kama haya yametoka kinywani mwake??Tatizo la Tanzania ni kupeana vyeo kwa kufahamiana ndio maana tunapata viongozi Dhaifu kama huyu.Badala ya kushughulikia yeye anabariki hata kuondoka kwa Mkuu wa shule Uwapi Utawala wa sheria na Uongozi bora.Naililia Tanganyika.
Haya yote yaliletwa na Udahifu wa Jakaya Kikwete na serikali yake ya Ccm ambayo inazalisha viongozi kama huyu Kamanda wa Polisi.
 
Nafikiri sasa kuvumiliana kumekuwa basiii. Kinachotakiwa kuhishimiana.

Ndio maana waswahili wanasema '' Ukila na kipofu usimguse mkono''

Poleni sana
 
Wakati wa Uchaguzi wa Uongozi mpya wa Shule ,baada ya Wanafunzi kuomba nafasi mbalimbali za uongozi wakapitishwa majina ya kila idara ya watu wawili ambao ni Mkwisto na Muislamu. Hapo kabla ilikuwa wanagombea watu watatu kwa kila idara akaibadirisha wakawa wawili (tatizo la kwanza) ,Ikumbukwe hapo Shuleni kuna wanafunzi takribani 720 ,Waislamu ni kama 140 tu.Hivyo Waislamu wakaona huyu mkuu anaajenda yake ya siri ,Kwanini wawili badara ya watatu,kwanini mkwisto na muislamu badara ya vigezo vilivyowekwa .Wakaaamua kujitoa .

Sasa angalau umenielewesha. Kama kweli ame tamper na utaratibu amekosea. Ila pia nina wasiwasi na vijana wetu ambao wanadiriki kumtishia mwlimu wao kuwa watamdhuru. Hili kidogo linaelekea kwenye uvunjwaji wa sheria na nadhani ndio maana polisi wamepiga kambi hapo kuwaondoa vijana wanaoleta mtafaruku. Pia kwa upande mwingine tungewaiga wazungu. Mtu anapoomba msamaha maana yake kajiweka chini ya miguu yako kwa hiyo mwajibishe sio na wewe ugeuke jambazi unamtishia maisha. Mimi ningekuwa hapo shuleni ningemwambia atangaze utaratibu upya na utaratibu ufuatwe na pia aandike barua ya kutuomba wanafunzi wote msamaha rasmi kabisa.

Hivi wadogo zangu waIslam wanazidi kuonekana kama ma boko haram kumbe wanaweza kuwa kweli wana point ya msingi.

Maoni yangu tu lakini.
 
Mpaka saa 6:25 Polisi walikuwa wameondoka na Gari lao lakini wale wanafunzi wana8 walikuwa wamegomakuondoka,Shughuli nzito hii.
 
Haya mambo yanatokea kwa kuwa sasa CUF na CCM wametufanya tukitizame kila kitu kwa jicho la Mkristo vs Muislamu. Wanafunzi wa enzi zetu hata tukicheza mpira huwa tubashindana Simba vs Yanga lkn sasa nina mashaka huko mashuleni. Mambo ya kipuuzi yamepelekwa shuleni
 
Wanajamvi taarifa nilizonazo ni kuwa wale Wanafunzi wa8 ambao walikuwa wakiwaongooza wanafunzi wenzao wa Kiislamu kumshinikiza Mkuu wa Shule hiyo atoke au ahamishwe leo wamesimamishwa masomo mpaka tarehe 27/11/2012.

Siku ya Ijumaa Shuleni hapo kulitarajiwa kuwe na ugeni Mkubwa kutoka Wizarani uelezee hatma ya sakata hilo.
Lakini dakika za mwishoo saa 9 Alasili wanafunzi wakatangaziwa kuwa Viongozi hao hawatafika.

Mkuu wa Shule hiyo inasemekana ameendelea kuwaomba samahani Wanafunzi Mstarini na mmojammjoja pale anapokutana nao.
Amewasihi wamsamehe kwani yeye ni Binadamu amekiri kosa lake na hato rudia tena.
Pia Familia yake haipo hapo Shuleni,magari yake mawili huwa anayaondoa kila ikifika jioni na kuyarudisha Asubuhi.

Hiv sasa hapo Shuleni kuna Gari moja ya Polisi kwa ajiri ya kuhakikisha hao vijana wanaondoka bila fujo.

Mkuu wa Shule anaonekana ana mawazo sana ,hajui hatma yake

Haya matoto badala ya kukaa yasome kwa juhudi na maarifa yamekalia migogoro ya kidini utafikiri wameenda shuleni kusomea uongozi wa dini, mwisho wa siku ni kufeli na kukosa mwelekeo wa maisha
 
Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia yake kuhofia usalama wa maisha yake.

Hata hivyo habari zilizopatikana shule hapo zinaeleza kuwa mgogoro huo ulianza wakati wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi.

Wakati wa uchaguzi huo walijitokeza wagombea wawili wa nafasi ya Kilanja Mkuu wa Shule, Answal Abdul na Emmanuel Mmari ambao walikuwa wakichuana nafasi hiyo. Wote ni wanasoma kidato cha tano.

Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kampeni zilipoanza wanafunzi wa Kiislamu ambao baadhi yao ni viongozi wa msikiti uliopo shuleni hapo, walianza kumpigia kampeni mgombea wa dini yao na wa dini ya Kikristo walianza kufanya hivyo.

Habari zaidi zinaeleza kuwa wakati kampeni zikiendelea, inadaiwa Mkuu wa Shule aliwasihi wanafunzi wa Kiislamu waache kupiga kampeni kwa kufuata misingi ya dini.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule.

"Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi," alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo.
 
breakn newzer...do whatever you do........

Tuna waislamu tunafanya nao kazi, hawako hovyo kama ninyi......mnaojiita wanaharakati shenzi kabisa....nia yenu ni chafu na tunaijua.....ni kupora dola ili lifanye mnavyotaka na kutufanya tusio wa dini yeNu second citizen........

Tumeishawabaini, tutawashughulikia kama wahuni na sio waislamu....waislamu tunawafahamu....NYIE NENDENI SYRIA Au, au misri......au LIBYA MKAUANE......leave our mother Tanzania alone!!!

Tanzania will remain as a SECULAR state....not otherwise...period! we cant just keep quite, sitting and look you doing the evils around in the name of VERY PRECIOUS ALLAH...hatuwaogopi...period!

Nakubaliana na wewe kabisa.
Ninawashkaji zangu kibao waislam ambao wanasikitikaa sana hivi vitendo vya fujo vinavyofanywa na waislamu wenzao kwa kisingizio cha mambo ya imani. Yaani wanasikitika na kusononeka sana jinsi wenzao wanavyokuza vijimambo vidogo kuwa ishu kubwa.
Ila kwa hii ishu ya shule ya Bagamoyo, huyo mwalimu mkuu alikosea pale alipowaita wanafunzi wake wa dini ya kiislamu ambao walikuwa wanalazimisha kwenda masjid wakati yeye alikuwa hataki kwamba ni al quad.
Lazima itamkost tu huyo mwalimu. Tumsikilizie Mhe Kassim Majaliwa atakavyo ishughulikia hiyo ishu.
 
Haya mambo yanatokea kwa kuwa sasa CUF na CCM wametufanya tukitizame kila kitu kwa jicho la Mkristo vs Muislamu. Wanafunzi wa enzi zetu hata tukicheza mpira huwa tubashindana Simba vs Yanga lkn sasa nina mashaka huko mashuleni. Mambo ya kipuuzi yamepelekwa shuleni

aisee ueniua kiongozi baadae mechi zitakuwa wakristo kwa waislam hadi primary.
 
Kama hali imechafuka kiasi hicho mwalimu Mkuu hawezi kuongoza tena kwa ufanisi ni bora ahamishwe
 
Yani akili nyingine bana....hovyo kweli.
Kwahiyo kama mkuu wa shule amekiuka taratibu za uchaguzi, basi anastahili kudhuriwa?

Labda mimi sielewi, hawa watu wamefundishwa kwamba suluhu ya tatizo lolote ni ngumi mkononi?

Je, ni kweli mkuu alikosea? Imedhibitika kwamba alifanya hivyo ili wakristo washinde?
Mambo ya kuishi kwa hisia hisia tu mabaya sna.
 
Mfumo kristo upo kazini LAKINI nawaahidi ule wenu mnaochekelea ujinga huu ipo siku itagharimu damu za wapendwa wenu

Haki haiombwi huchukuliwa, mimi nlijua tu watafukuzwa lakini ndio wanazidisha moto, mnaweza kukejeli leo kwa mbwembwe nyingi na mkajuta kesho !

Mkuu umeona eeeh ,we jitoe mhanga tu uue wasio na hatia uende zako peponi ukapewe mabikra bwana bikra zenyewe huku duniani zimeshaisha aisee faster faster wasije wakaisha
 
waadhibiwe kama masophist tu,sio useme wakimbilie madrasa .hapo unaleta uchochezi.

uchochezi gani? shule ni sehemu ya kupata taaluma! Hao mburula wamesababisha mkuu wa shule akimb na familia yake!
 
Baada ya Wale Askari kuondoka pale shuleni,Sasa hivi wamerudi pamoja na Wanajeshi,Ofisini kwa mkuu wa shule kuna DC na viongozi wengine nahisi ni RC,Wanafunzi wametulia wanasubiri atma ya wanafunzi wenzao.
 
Natamani sana kama shule hii angeendelea kuiongoza Dkt. Lawrance Kibatala. Maana yeye ku-entertain ujinga ujinga kama huu, asingekubali...
 
Back
Top Bottom