Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Nabwada

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
124
Reaction score
33
Wanajamvi taarifa nilizonazo ni kuwa wale Wanafunzi wa8 ambao walikuwa wakiwaongooza wanafunzi wenzao wa Kiislamu kumshinikiza Mkuu wa Shule hiyo atoke au ahamishwe leo wamesimamishwa masomo mpaka tarehe 27/11/2012.

Siku ya Ijumaa Shuleni hapo kulitarajiwa kuwe na ugeni Mkubwa kutoka Wizarani uelezee hatma ya sakata hilo.
Lakini dakika za mwishoo saa 9 Alasili wanafunzi wakatangaziwa kuwa Viongozi hao hawatafika.

Mkuu wa Shule hiyo inasemekana ameendelea kuwaomba samahani Wanafunzi Mstarini na mmojammjoja pale anapokutana nao.
Amewasihi wamsamehe kwani yeye ni Binadamu amekiri kosa lake na hato rudia tena.
Pia Familia yake haipo hapo Shuleni,magari yake mawili huwa anayaondoa kila ikifika jioni na kuyarudisha Asubuhi.

Hiv sasa hapo Shuleni kuna Gari moja ya Polisi kwa ajiri ya kuhakikisha hao vijana wanaondoka bila fujo.

Mkuu wa Shule anaonekana ana mawazo sana ,hajui hatma yake
 
Mpaka sasa hao Wanafunzi wa8 wamegoma hawataki kurudi Nyumbani,Polisi wako Ofisini wanaongea na uongozi wa Shule wajue ni nini cha kufanya ambacho hakitaleta athari kubwa,tatizo ni jee hawa Wanafunzi waliobaki wa KIISLAM watafanya nini endapo Polisi watatumia nguvu kuwatoa wale wanafunzi wa8
 
Mfumo kristo upo kazini LAKINI nawaahidi ule wenu mnaochekelea ujinga huu ipo siku itagharimu damu za wapendwa wenu

Haki haiombwi huchukuliwa, mimi nlijua tu watafukuzwa lakini ndio wanazidisha moto, mnaweza kukejeli leo kwa mbwembwe nyingi na mkajuta kesho !
 
Tupe background ya swala lenyewe kwanza tulipime na sisi.
 

mleta habari? Mbona huzingatii maadili?

1. Adhabu hiyo hivi inatosha kweli? Kosa lao ni lipi? Kunyang'anya matokeo au kutumia nyumba ya ibada kupiga kampeni ya taasisi?

2.anaomba msamaha kwa kosa lipi? Yeye alikosea wapi kama binadamu? Huwa anakula ada?

3. Mawazo ju ya nini?
 


breakn newzer...do whatever you do........

Tuna waislamu tunafanya nao kazi, hawako hovyo kama ninyi......mnaojiita wanaharakati shenzi kabisa....nia yenu ni chafu na tunaijua.....ni kupora dola ili lifanye mnavyotaka na kutufanya tusio wa dini yeNu second citizen........

Tumeishawabaini, tutawashughulikia kama wahuni na sio waislamu....waislamu tunawafahamu....NYIE NENDENI SYRIA Au, au misri......au LIBYA MKAUANE......leave our mother Tanzania alone!!!

Tanzania will remain as a SECULAR state....not otherwise...period! we cant just keep quite, sitting and look you doing the evils around in the name of VERY PRECIOUS ALLAH...hatuwaogopi...period!
 
Huu ujinga kuuendekeza mashuleni ni tatizo sana! Serikal legelege ndo matokeo yake! Mwanafunzi km hana nidham hatua sitahk kuchukuliwa juu yake,haijalish muislam au mkiristo! Endeleen kulea ujinga,ttawaskia!
 
Boko haram- Western education is haram/sin. Need I say more?
 
Wakati wa Uchaguzi wa Uongozi mpya wa Shule ,baada ya Wanafunzi kuomba nafasi mbalimbali za uongozi wakapitishwa majina ya kila idara ya watu wawili ambao ni Mkwisto na Muislamu. Hapo kabla ilikuwa wanagombea watu watatu kwa kila idara akaibadirisha wakawa wawili (tatizo la kwanza) ,Ikumbukwe hapo Shuleni kuna wanafunzi takribani 720 ,Waislamu ni kama 140 tu.Hivyo Waislamu wakaona huyu mkuu anaajenda yake ya siri ,Kwanini wawili badara ya watatu,kwanini mkwisto na muislamu badara ya vigezo vilivyowekwa .Wakaaamua kujitoa .
 

kweli mkuu, kuna ujinga uko nyuma wa kufanya taifa liwe la kiislam! Hawa jamaa tmewashtkia,ujinga ujinga tu hata pasipo hucka!
 
secular
 

Hapo kwenye nyekundu anaitwa nani? nilimaliza pale 1999 alikuwa anaitwa Peter Naali sijajuka kama bado atakuwa ni yeye kwa muda wote huo
 
Nilitegemea kwenye sehemu yenye wakaazi wengi waislam labda na idadi yao ingekuwa kubwa kwenye shule iliyomo ndani ya wilaya yao. Mfumo Kristo? Mwamko mdogo wa elimu??
 
Mfumo kristo ndo mfumo gani? Hivi ndug yangu cha kuwatetea hao ni nini hasa, kama ulifuatilia habari wao wanadai mwalimu mkuu alikuwa anawapigia kampeni wakristo, inawezekana ikawa kweli, lakin wanafunzi wa kiislamu ndo inasemekana walikuwa wa kwanza kumsimamisha mgombea wao, halafu baadaye waligomea kupiga kura, japo walishairiki na hawakuandika jina la mtu yeyote, sasa je huu ndo usomi wao?

Inasemekana baada ya mkristo kushinda liliundwa baraza la mawaziri na mwl. mkuu alipoitisha kuliapisha ndo wanafunzi wa dini ya kiislamu wakapokonya karatasi ya orodha, narudia inawezekana mwl. anamakosa lakin njia waliyotumia wanafunzi si sahihi hata kidogo.
 
Mkuu tafadhari,Huyo Mwalimu Mkuu mwenyewe ameomba samahamu mara nyingi Mstarini na katika vikao mbalimbali vya Bodi,amekiri kuwa amekosea kwa utaratibu ule wa kupitisha Wagombea wawili kwa kila idara.Pia kuhusu Msongo wa Mawazo wa huyu Mkuu ni kuwa kuna cheo anakishikiria kama Mwenyekiti wa Wakuu wa Shule za Sekondari Afrika ,kwa hiyo anaona akitolea hapo itamuharibia CV yake .Jamaa anasafiri sana kwenda nje kwa hicho cheo.Juzi juzi tuu alikuwa Ulaya kwenye moja ya mikutani yao

Pia hata wanafunzi wa Kikristo hapo shuleni wanasema Waislamu hawana tatizo wala kosa ila Mkuu ndiye tatizo ,wanaona bora aondoke ili waendelee na Masomo.Kwani kama ataendelea kuwepo wanafunzi na walimu hawaingii Darasani ni Wiki 2 sasa.
 
Wamuhamishie Ndanda na wa Ndanda apelekwe Bagamoyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…