Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Arinashi ,Mie nakubariana na wewe,hata wale wanafunzi wachache wa Kiislamu na Wale wa Kikristo wanasema kama Mwalimu ameomba samahani asamehewetu ,Pia kumbuka Nyumba anayoishi iko hapo Shule hivyo ule muda wa Asubuhi anapoomba Samahani Mstarini mpaka mkewe na wanawe wanamuona akiomba samahani.Kwanini tusimsamehe huyu Mtu,maana jinsi anavyoathirika kisaikolojia inatosha kabisa .
 
Mimi hapa Ofisinikwetu Waislam tuko wawili tu,mbona tunafanya kazi vizuri ,
 
Hao ni akina future Uamsho, Ponda and co in the making. Inabidi kuwachapa bakora 200 kila mmoja ili wasituletee huu uhuni wanaojifunza toka kwa hao wahuni wenzao wasiofuata maadili ya uislamu.
 


Hapo kwenye RED mkuu;
  1. Mimi siamini kama kwa utawala wa sasa hivi ambao viongozi karibia wote wa juu ni waislam kweli huo mfumo kristu kama kweli uwa hupo unaweza kuwa unafanya kazi. Ningetegemea uwe likizo manake jinsi huo mfumo unavyoelezewa ni wazi unakandamiza uislam sasa iweje viongozi wote wausimamie kwa sasa? Akili ya kawaida itakuonyesha kwa hili hakuna cha mfumo kristo bali ni sisi kutoauona ukweli.
  2. Kuhusu hiyo ya DAMU nafurahia waTz wanavyotamani kumwaga damu, na ningependa nikujulishe hata wewe hujui gharama ya damu. Ndo maana mnashabikia damu kwa vitu vidogo visivyo na vichwa wala miguu!

For the record:
Napinga uonevu wa aina yoyote na kama wanafunzi wana haki basi kwa vile media zimemulika sakata hili naendelea kuamaini haki itapatikana.
 
LoyalTZCitizen ,Niambie na huyo Mkuu wa Shule utamchapa baakora ngapi? ,unipe na yeye jina ambalo anastahili ,mbona munapenda kuangalia matokea badala ya chanzo?. Chanzo ni Mkuu wa Shule kuvuruga mazingira ya uchaguzi huru na wa haki .
 
Tupe background ya swala lenyewe kwanza tulipime na sisi.

Nilidhani kuna Mungu mmoja kumbe ni wawili, wa kweli wa amani na upendo, mwingine ni wa vurugu na kiu ya damu za watu wasio na hatia asiyeweza kijitetea mpka atetewe na viumbe wake. kweli ujinga ni mZigo mzito
 

Ni heri inchi iwe ya kikristo sijaona wanapigana wenyewe kwa wenyewe kama waislam wala mabomu ya kujilipua, unadai haki ya nini kama unamnyima yaki mwenzio ya kuishi.
 
Wamuhamishie Ndanda na wa Ndanda apelekwe Bagamoyo...

kule tena? Mwambie aombe kwenda shule za mikoa ya iringa na mbeya. Waislamu wa kule wanasoma shule na kutafuta hela. Mtu ukiwa busy huna muda wa kuhamasisha wanafunzi kugoma. Watu wa pwani hawana kazi za kufanya hivyo wanafuatilia kila umbea unaopita mbele yao
 
nilidhani kuna mungu mmoja kumbe ni wawili, wa kweli wa amani na upendo, mwingine ni wa vurugu na kiu ya damu za watu wasio na hatia asiyeweza kijitetea mpka atetewe na viumbe wake. Kweli ujinga ni mzigo mzito

kuna mungu aliyeumba mbingu na nchi na allah wa kuchukia kukristo
 

True hata Mwanza
 
Nyalotsi ,sijaipenda kauli yako ,hauwezi kusema watu wa Pwani hawana shughuri za kufanaya,mtaje mtu fulani ana asili ya pwani na apendi kujishughurisha.MIMI SASA HIVI NIKO OFISINI HAPA,Je sifanyi kazi? .utasemaje hatupendi kufanya kazi.Kama ulikorofishana na mtu mmoja usiseme watu wa pwani.Nenda Kilwa uone kama kweli watu hawafanyi kazi .

Alafu Hoja iliyopo na maelezo yako haviendani,hiyo Shule hawasomi watoto wanaotoke Pwani tu,wapo mapaka watoto wanotokea Mbeya ,
Mkuu wa Shule amekosea ,mbona mwenyewe amekiri hivyo,we nenda sasa hivi pale Shuleni muulize mwanafunzi yeyote yule atakuambia kuwa mwenyewe Mkuu anaomba samahani amepajua alipokosea .Sasa Waislamu kosa lao nini pale wanapoona kuna mtu anataka kuuharibu utaratibu tuliouzoea Watanzania wa kuishi kama ndugu na yeye kuuleta utaaribu Kristo Shuleni?
 
Sidhani kama kuna ukweli katika hili la watu wawili wawili kila idara na ni mkristo na muislam. Mleta maada inawezekana amepitiliza ili apate support kubwa ya kujadiliwa. Sidhani kama maamuzi yote ya uchaguzi yanafanywa na mkuu wa shule kwani hakuna kamati ya uchaguzi au hakuna waalimu wengine? Ina maana mwalimu mkuu ndio kila kitu katika hiyo shule? Basi kama ni kweli atakuwa ni mwendawazimu.
 

Nendeni mkafanye mambo haya huko NIGERIA ,SUDANI,MOMBASA NA SOMALIA,
hamuwezi kukurupuka na kuanza ku ua watu eti kwa sababu:
1/ mnataka kukomboa mali zenu ei kiwanja pale CHANG'OMBE wakati viongozi wenu kwa u-vilaza wao waliuza na mnunuzi ali nunua kihalali(mlivyo wapumbavu mme-enda kuvunja na kuiba simenti,,kokoto nk).
2/ Eti kuna mfumo kristo,MoU,Mnafelishwa(wakati shule hamsomi mna kazi ya kushabikia magaidi.HOW ABT SOMALIA,NIGERIA,MOMBASA na SOMALIA nako kuna MoU,Mfumo kristo na kufelishwa waislam?),TOENI UJINGA WAJINGA NINYI.
3/Ruzuku kwa makanisa ni kutokana na SERIKALI DHAIFU Haina uwezo wa kujenga ma-hospital na kuyaendesha,nyie mna hospital ngapi zenye viwango japo vya Hospital ya WILAYA?,Mkipewa viwanja mmnauza,mkijitahidi saana mnalaza MAGARI,sasa Pale chang'ombe mna padai mlaze MAGARI?.
M-mesha ua sana na hakuna kitu chochote mnachopata wala kuendelea,sana sana mnazidi kulaanika mpaka mnajificha kwa majina ya
SIO WAISLAMA NI WAHUNI,wahuni gani wanakusanyikia msikitini kila Ijumaa?,
Au NDO TUSEME MISKITI NI MAJUMBA YA WAHUNI?
Tatizo sio ninyi ni yule Muasisi wa TUKUFU alipo oa mtoto wa miaka 6 na kisha kumuingilia kimwili akiwa na miaka 9,pale ndo hii laana yenu ilipo anzia na mpaka mtafika nayo jehanam.
Mnashangaza watu wasio wajua kwa watu wanaojua historia ya mu a-sisi wenu anajua hiyo ni laana inaendelea kuwatafuna,mngekuwa na akili mngejua kuwa mnachofanya duniani kote ni upumbavu na kuachana nacho lakini kwa kuwa ni laana basi mtakwisha nayo:
ETI reff ya mtu mzima kuingilia KITOTO ni kwa sababu adam na eva walikuwa na miaka SIFURI lakini waliruhusiwa kujamiiana,heeeeeee nyi kweli vilaza.

ACHENI U-VILAZA NENDENI SHULE.Badala ya kuhamasisha wanafunzi ku-andamana cz of wavamizi,wezi na majangiri.
 

Shindwa pepo kwa jina la YESU
 
swrc Nenda Shuleni pale Bagamoyo,uwaulize wanafunzi uchaguzi ulikuwaje na wgombea walipatikana namna gani na wadini zipi,na kwanini Waislamu walijitoa.Utaambiwa ,niko tayari kupigwa ban kama siko sahihi.
 

Msipende kutisha watu fateni sheria tu wala hakuna aneyewaonea, halafu sio kuwa nyie mna nguvu sana au mna uwezo wa kufanya fujo za kugharimu roho za watu kuliko wengine, kukaa kwao kimya ni wingi wa busara tu lakini kama ikibidi jino kwa jino wanaweza vile vile.
 

Soma hapa penye red

A car bomb attack at a military post in Hama has killed at least 50 soldiers and pro-regime fighters, a rights watchdog has said.
The British-based Syrian Observatory for Human Rights said the blast occurred near the checkpoint in the village of Ziyara, in central Syria.
It claimed that the attack was carried out by Jabhat al Nusra, an al Qaeda-inspired Islamic militant group.
It said: "The post, located at the Centre for Rural Development, is the largest gathering place for troops and pro-regime militiamen in the region."
The death toll has not been independently verified.
State-run news agency SANA said the explosion occurred outside a development agency


Suicide Bomb Kills 50 Soldiers In Syria

 

Uislamu ni dini yamashetani na shetani hanaga hakili
 
Kama kwenye red ndiyo msingi wa tatizo huyu Mwalimu Mkuu anatakiwa kufungiwa jiwe shingoni na kutupwa katika kilindi cha bahari....What a stupid Head Teacher

Je, ingekuwa kama ameweka wagombea wote wawili Wakristo ungesemaje? Tatizo ni kuwa tumekubali kuleweshwa udini; ulianzishwa na Wanaharakati wa Kidini na baadaye ukakumbatiwa na wanasiasa. Kwa sasa tumekubali kurithishwa huo upumbavu.

NNi aibu sana kuliangalia kila jambo kwa mlengo wa kidini. Mbona kuna nafasi nyingi tu bado zinashikwa na watu wa dini moja?
 
Sasa tusemeje? Rais ni mwiislam, Makamu wa Rais ni mwislam, IGP ni mwislam, Jaji mkuu ni mwislam, Mkuu wa mkoa wa Pwani ni Mwislam, Mkuu wa Wilaya wa Bagamoyo ni mwislam obviously na watendaji wa chini ni waislam.Mfumo kristo unakujaje? Tatizo mmnaendekeza madrassa, ngoma, majini, unajimu. Na huko Bagamoyo idadi kubwa ya population ni waislam.Ukristo unahusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…