Hiyo train huja mara kwa mara kama sikosei mara moja kwa mwakaBodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69 waliowasili leo jijini Dar es Salaam wakitokea Afrika Kusini kupitia reli ya TAZARA.Watalii hao kutoka Mataifa Mbalimbali, wamewasili katika stesheni ya TAZARA, kwa kutumia treni ya Kampuni ya Ravos, ya nchini Afrika Kusini. View attachment 1042871
Acheni ujinga wa kusifia vitu ata ambavyo ni vya kawaida.kila mwaka toka miaka ya 90 tren yenye watalii wakat mwngne wengi zaid huwasili kwa njia ya reli toka south Afrika .Ni matokeo chanya tuendelee kuitangaza nchi yetu ili tuzidi kupata watalii wengi zaidi.