Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69 waliowasili leo jijini Dar es Salaam wakitokea Afrika Kusini kupitia reli ya TAZARA.Watalii hao kutoka Mataifa Mbalimbali, wamewasili katika stesheni ya TAZARA, kwa kutumia treni ya Kampuni ya Ravos, ya nchini Afrika Kusini.
1552285080319.png
 
Ni matokeo chanya tuendelee kuitangaza nchi yetu ili tuzidi kupata watalii wengi zaidi.
 
Bila shaka Tanzania Safari Chanel ina mchango wake hapo kwa kututangaza zaidi kimataifa
 
Watalii 69 yawa kivutio. .... twende kazi
 
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69 waliowasili leo jijini Dar es Salaam wakitokea Afrika Kusini kupitia reli ya TAZARA.Watalii hao kutoka Mataifa Mbalimbali, wamewasili katika stesheni ya TAZARA, kwa kutumia treni ya Kampuni ya Ravos, ya nchini Afrika Kusini. View attachment 1042871
Hiyo train huja mara kwa mara kama sikosei mara moja kwa mwaka
 
Ni matokeo chanya tuendelee kuitangaza nchi yetu ili tuzidi kupata watalii wengi zaidi.
Acheni ujinga wa kusifia vitu ata ambavyo ni vya kawaida.kila mwaka toka miaka ya 90 tren yenye watalii wakat mwngne wengi zaid huwasili kwa njia ya reli toka south Afrika .
 
Back
Top Bottom