Bodi ya utalii Tanzania yamuita staa wa bundesliga kufanya utalii nchini ili kuitangaza Vivutio vya utalii Nchini

Bodi ya utalii Tanzania yamuita staa wa bundesliga kufanya utalii nchini ili kuitangaza Vivutio vya utalii Nchini

Yote Tisa , kumi ni kwamba huyo ni underground tu, mastaa ni akina cr7,mess, neymar jr,etc, tuacheni kudanganyana na vitu vya wazi, umuite staa huyo, mastaa uwaiteje sasa, kukuza utalili ni mchakato sio matamko tu,
 
Natoa ushauri kwa body ya utalii hili Jambo sidhani Kama lipo kwenye maktaba zetu ? za wenzetu kuna eneo la vitabu vya leissure na travel hiyo husaidia wasomaji kujua vizuri utalii wa sehemu husika, hivyo Kama hapa nchini ikiwezekana kwenye maktaba zetu zote viwekwe vitabu hivyo kwa ajili ya utalii
 
March 3, 2019

One of the leading African traveller who has decided to showcase his home continent Mr. Wode Maya will be in Tanzania. His tour will be on YouTube for the world to see it. Him being a leading YouTuber, millions will be viewing his account to know more about Tanzania.

Let's Meet in Tanzania


Source : Wode Maya

c.c Pascal Mayalla
 
Kazi kwenu waandishi waKitanzania kuanza kutupia youtube habari ktk lugha za kigeni kama Kiingereza n.k

Fursa ni kubwa maana habari za aina zote toka kwa waandishi wa kibongo ktk lugha ya Kiswahili zimefurika YouTube haziangaliwi kimataifa.
 
Back
Top Bottom