Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Zimekua sehemu za kumalizia uzee huu ndo ukweli mchungu tusioupenda kuuongeaMtu ashachoka ana miaka 60 na zaidi anaendelea kuwa kwenye bodi tu tena muda mwingine kwenye mashirika ambayo yeye hana ujuzi nayo ...Bodi zimekua za kulipana posho. BODI ZIBADILISHWE TU MAJINA ZIWE BODI ZA WAZEE WASHAURI. Yaani unakuta hawana mawazo mapya ndo maana mashirika mengi huingia hasara kila siku kutokana na bodi nyingi kuwa na wazee na wana mawazo ya kizee..
Kumbuka mwendokasi amepewa foreigner baada ya wazawa kushindwaKwenye Dunia ya kijasusi, unaongelea foreigners gani?
Watanzania bwana umeshindwa kupambana na maendeleo ya Taifa lako unataka foreigners waje kukuletea maendeleo.
Na kwa taarifa yako huko tunapoendea kama Taifa usishangae taasisi moja mtu anaweka ndugu zake, maana Watanzania akitokea mtu kutusanua tunaanza kum attack personal baada ya kujiuliza anachoongea kina mantiki kwa Taifa.
Mbona ueleweki unaongelea wawekezaji au foreigner kuwa kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye taasisi zetu kama heading ya uzi wako unavyosemaKumbuka mwendokasi amepewa foreigner baada ya wazawa kushindwa
U.A.E, Saud arabia in-short nchi za gulf wameajiri foreigner wengi na ndo chachu ya maendeleo yao
Wawekezaji wanakuja baada ya sisi kushindwa kuendesha mradiMbona ueleweki unaongelea wawekezaji au foreigner kuwa kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye taasisi zetu kama heading ya uzi wako unavyosema
Sure waarabu mashirika ya ndege Kwa mfano Wana run foreigners, huku kwetu utasikia usalama wa taifa la nyokonyokoKumbuka mwendokasi amepewa foreigner baada ya wazawa kushindwa
U.A.E, Saud arabia in-short nchi za gulf wameajiri foreigner wengi na ndo chachu ya maendeleo yao
Very dangerous.Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board
Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee
Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi
Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi
NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA
Tanzania Project 2035
TANZANIA PROJECT 2035 VISION Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term of GDP na PPP MISSION Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa...www.jamiiforums.com
Nchi ya Tanzania kuna mda wati wanashangaza sanaSure waarabu mashirika ya ndege Kwa mfano Wana run foreigners, huku kwetu utasikia usalama wa taifa la nyokonyoko
Mbona gulf countries wameajiri foreigner kwenye baadhi ya maeneo na imewasaidia sanaVery dangerous.
kama kweli kuna uhitaji wa hao watu, watumike kama consultants
Also, kuna wataalam wengi TZ , shida hizo nafasi ni présidentiel appointment…… vyeo vya ki presidential haviangalii compétence but uchawa na uti
Boreshen katiba
Nilikuona jana mchana Ngarenanyuki ukawa unakenuliakenulia mimeno Tu.Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board
Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee
Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi
Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi
NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA
WATAKAOCHAGULIWA WATAKUWA NA VIGEZO VIFUATAVYO;-
- Wenye uzoeefu wa miaka 15 usiokuwa na shaka kwenye sekta husika ambayo ina-uhusiano na kazi-fulani la shirika la umma
- Hatakama ni mstaafu hatazidi miaka 68
- Kwa foreign pia atapewa nafasi
Tanzania Project 2035
TANZANIA PROJECT 2035 VISION Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term of GDP na PPP MISSION Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa...www.jamiiforums.com
Point ni ufanisi na sio kulaUnataka wastaafu wetu wakale wapi?
Nafasi za wateule wa ccm hizo!Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board
Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee
Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi
Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi
NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA
WATAKAOCHAGULIWA WATAKUWA NA VIGEZO VIFUATAVYO;-
- Wenye uzoeefu wa miaka 15 usiokuwa na shaka kwenye sekta husika ambayo ina-uhusiano na kazi-fulani la shirika la umma
- Hatakama ni mstaafu hatazidi miaka 68
- Kwa foreign pia atapewa nafasi
Tanzania Project 2035
TANZANIA PROJECT 2035 VISION Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term of GDP na PPP MISSION Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa...www.jamiiforums.com
Ni huzuni sanaNafasi za wateule wa ccm hizo!
Tulikwambia siye shida yetu ni ufanisi? Ingelikuwa shida ni ufanisi basi Tanganyika ingekuwa sawa kiuchumi na Thailand au Vietnam..Point ni ufanisi na sio kula
Shida ya Tanzania ni nini kama si ufanisi- ebu sema shida ya Tanzania ni niniTulikwambia siye shida yetu ni ufanisi? Ingelikuwa shida ni ufanisi basi Tanganyika ingekuwa sawa kiuchumi na England..