Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Leo picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha bodi ya wakurugenzi Simba imekutana kufanya kikao chake kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, kikao hicho kimeonyesha kuwa baadhj ya wajumbe hawakuwez kushiriki pengine ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao au wamegomea.Mfano mmoja wa wajumbe Kassim Dewji simuoni katika picha hizo, siku za hivi karibuni Kasssim ambaye historia yake pale Simba ni ndefu sana na kwa wale wasiomjua vzr wanamuona muona tu, alikuwa na sintofahamu na Ceo kabla ya kupatanishwa.
Nataka niwaambie viongozi wa bodi, wanachama na mashabiki wana mengi sana ya kuwaambia, yaani madukuduku kwa uongozi wenu tunayo mengi sana, Simba haijawahi kuwa dhalili kama sasa hivi, tuna mechi ugenini tukimaliza na Ruvu kesho, cjui kama tutaondoka na pointi huko mikoani kutokana na nionavyo katika timu yetu na wapinzani wetu wa jangwani walivyojipanga.
Timu yetu tangu imfurumushe albino imekuwa haieleweki, wachezaji wanaosajiliwa wametuangusha, mashabiki tunatoka uwanjani tukiwa na maumivu halafu watu wanachukulia poa tu.
Kabla ya usajili niliwahi kushauri baadhi ya wachezaji wa kusajiliwa, nikapuuzwa, yanga ikawasajili na Leo wanaonekana mali huku tukiwatolea macho, Yanga kuwa unbeaten kumesababishwa na sisi wenyewe, bila kuweka mikakati Yanga haifungwi na timu yoyote hapa bongo, wa kuifunga yanga ni Simba tu hakuna mwingine.
Yanga alikuwa mteja sana wa Simba, Simba ilikuwa na uwezo wa kucheza na wachezaji 8 uwanjani na ikaifunga yanga, Leo imekuwaje Simba awe ndio mteja wa Yanga?
Watu wanalalamika kuwa miongoni mwenu hamna uchungu na timu, kwa mfano ukiangalia kikao cha Leo cha bodi, mwenyekiti anaongea mjumbe mmoja anachat na simu, hivi kuna seriousness kweli kwenye kikao?
Tunaomba mtueleze uchaguzi unafanyika lini? Nyie mkiendelea Yanga itaendelea kuwa unbeaten. Simba ndio timu pekee yenye uwezo wa kuamua Yanga aendelee kuwa unbeaten au wafike mwisho.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app