Bodi ya Wakurugenzi Simba, kaeni vikao lakini mjue kuwa tunataka uchaguzi tuchague watu wenye uchungu na Simba

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Leo picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha bodi ya wakurugenzi Simba imekutana kufanya kikao chake kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, kikao hicho kimeonyesha kuwa baadhj ya wajumbe hawakuwez kushiriki pengine ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao au wamegomea.Mfano mmoja wa wajumbe Kassim Dewji simuoni katika picha hizo, siku za hivi karibuni Kasssim ambaye historia yake pale Simba ni ndefu sana na kwa wale wasiomjua vzr wanamuona muona tu, alikuwa na sintofahamu na Ceo kabla ya kupatanishwa.

Nataka niwaambie viongozi wa bodi, wanachama na mashabiki wana mengi sana ya kuwaambia, yaani madukuduku kwa uongozi wenu tunayo mengi sana, Simba haijawahi kuwa dhalili kama sasa hivi, tuna mechi ugenini tukimaliza na Ruvu kesho, cjui kama tutaondoka na pointi huko mikoani kutokana na nionavyo katika timu yetu na wapinzani wetu wa jangwani walivyojipanga.

Timu yetu tangu imfurumushe albino imekuwa haieleweki, wachezaji wanaosajiliwa wametuangusha, mashabiki tunatoka uwanjani tukiwa na maumivu halafu watu wanachukulia poa tu.

Kabla ya usajili niliwahi kushauri baadhi ya wachezaji wa kusajiliwa, nikapuuzwa, yanga ikawasajili na Leo wanaonekana mali huku tukiwatolea macho, Yanga kuwa unbeaten kumesababishwa na sisi wenyewe, bila kuweka mikakati Yanga haifungwi na timu yoyote hapa bongo, wa kuifunga yanga ni Simba tu hakuna mwingine.

Yanga alikuwa mteja sana wa Simba, Simba ilikuwa na uwezo wa kucheza na wachezaji 8 uwanjani na ikaifunga yanga, Leo imekuwaje Simba awe ndio mteja wa Yanga?

Watu wanalalamika kuwa miongoni mwenu hamna uchungu na timu, kwa mfano ukiangalia kikao cha Leo cha bodi, mwenyekiti anaongea mjumbe mmoja anachat na simu, hivi kuna seriousness kweli kwenye kikao?

Tunaomba mtueleze uchaguzi unafanyika lini? Nyie mkiendelea Yanga itaendelea kuwa unbeaten. Simba ndio timu pekee yenye uwezo wa kuamua Yanga aendelee kuwa unbeaten au wafike mwisho.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Shida yako ni kuifikiria zaidi yanga kuliko timu yako ya simba, ambayo mpaka sasa imefanikiwa kuingia makundi CCL, na ipo nafasi ya pili kwenye ligi ya nyumbani ambayo hata round ya kwanza haijaisha.
 
Labda uwe mgeni na ligi ya Bongo, Yanga lazima umfikirie kwa sababu ndie mpinzani wetu, yeye mwenyewe anatufikiria sisi, Yanga huijui wewe, akikuzidi pointi 5 ukimkamata nakupeleka peponi, atatuzid pointi 5, na kuna mechi tutadondosha pointi huku yeye akiendelea kuua, wewe hujaenda kucheza na Geita kwao, hujaenda Kagera, hujaenda Ihefu, hujaenda Manungu, hujaend Mkwakwani, hujaenda Dodoma, huko kote ukiwa na Nyoni, Bocco, Akpan, Mwanuke, Kibu utarudi na pointi 4 tu, Mark my words.

Nimekuelewa, na hii ndio shida ya soka la nchi yetu, nilitegemea azam wataondoa hii hali lakini na wao wameshindwa kuwa na mikakati endelevu na yenye kueleweka, na hali inayoonekana azam wameshakubali kuwa wadogo mbele ya hawa wababe wawili.
 
Leo picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha bodi ya wakurugenzi Simba imekutana kufanya kikao chake kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, kikao hicho kimeonyesha kuwa baadhj ya wajumbe hawakuwez kushiriki pengine ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao au wamegomea.Mfano mmoja wa wajumbe Kassim Dewji simuoni katika picha hizo, siku za hivi karibuni Kasssim ambaye historia yake pale Simba ni ndefu sana na kwa wale wasiomjua vzr wanamuona muona tu, alikuwa na sintofahamu na Ceo kabla ya kupatanishwa.

Nataka niwaambie viongozi wa bodi, wanachama na mashabiki wana mengi sana ya kuwaambia, yaani madukuduku kwa uongozi wenu tunayo mengi sana, Simba haijawahi kuwa dhalili kama sasa hivi, tuna mechi ugenini tukimaliza na Ruvu kesho, cjui kama tutaondoka na pointi huko mikoani kutokana na nionavyo katika timu yetu na wapinzani wetu wa jangwani walivyojipanga.

Timu yetu tangu imfurumushe albino imekuwa haieleweki, wachezaji wanaosajiliwa wametuangusha, mashabiki tunatoka uwanjani tukiwa na maumivu halafu watu wanachukulia poa tu.

Kabla ya usajili niliwahi kushauri baadhi ya wachezaji wa kusajiliwa, nikapuuzwa, yanga ikawasajili na Leo wanaonekana mali huku tukiwatolea macho, Yanga kuwa unbeaten kumesababishwa na sisi wenyewe, bila kuweka mikakati Yanga haifungwi na timu yoyote hapa bongo, wa kuifunga yanga ni Simba tu hakuna mwingine.

Yanga alikuwa mteja sana wa Simba, Simba ilikuwa na uwezo wa kucheza na wachezaji 8 uwanjani na ikaifunga yanga, Leo imekuwaje Simba awe ndio mteja wa Yanga?

Watu wanalalamika kuwa miongoni mwenu hamna uchungu na timu, kwa mfano ukiangalia kikao cha Leo cha bodi, mwenyekiti anaongea mjumbe mmoja anachat na simu, hivi kuna seriousness kweli kwenye kikao?

Tunaomba mtueleze uchaguzi unafanyika lini? Nyie mkiendelea Yanga itaendelea kuwa unbeaten. Simba ndio timu pekee yenye uwezo wa kuamua Yanga aendelee kuwa unbeaten au wafike mwisho.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
sijaona point ya msingi zaidi ya ushamba na ulimbukeni kwa mashabiki wa miaka hii. Ambao mnataka kila siku tumu yenu ishinde goli tano, straika asikose goal. Round ya 11 tayari unaita timu dhalili, timu iko miongoni mwa timu 16 bora Afrika. Unafikiri kuendeshe club ni kazi nyepesi? haya subiri uchaguzi uje wewe na familia yako na ukoo mchukuwe alafu mmsajili, Neymar, Vinicius Jr, Raphinya, Halaad, Denlson, Mbape, Mane, Nkuku, Maquinos, Ree James, Ngolo kante nk
 
Ach
Leo picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha bodi ya wakurugenzi Simba imekutana kufanya kikao chake kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, kikao hicho kimeonyesha kuwa baadhj ya wajumbe hawakuwez kushiriki pengine ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao au wamegomea.Mfano mmoja wa wajumbe Kassim Dewji simuoni katika picha hizo, siku za hivi karibuni Kasssim ambaye historia yake pale Simba ni ndefu sana na kwa wale wasiomjua vzr wanamuona muona tu, alikuwa na sintofahamu na Ceo kabla ya kupatanishwa.

Nataka niwaambie viongozi wa bodi, wanachama na mashabiki wana mengi sana ya kuwaambia, yaani madukuduku kwa uongozi wenu tunayo mengi sana, Simba haijawahi kuwa dhalili kama sasa hivi, tuna mechi ugenini tukimaliza na Ruvu kesho, cjui kama tutaondoka na pointi huko mikoani kutokana na nionavyo katika timu yetu na wapinzani wetu wa jangwani walivyojipanga.

Timu yetu tangu imfurumushe albino imekuwa haieleweki, wachezaji wanaosajiliwa wametuangusha, mashabiki tunatoka uwanjani tukiwa na maumivu halafu watu wanachukulia poa tu.

Kabla ya usajili niliwahi kushauri baadhi ya wachezaji wa kusajiliwa, nikapuuzwa, yanga ikawasajili na Leo wanaonekana mali huku tukiwatolea macho, Yanga kuwa unbeaten kumesababishwa na sisi wenyewe, bila kuweka mikakati Yanga haifungwi na timu yoyote hapa bongo, wa kuifunga yanga ni Simba tu hakuna mwingine.

Yanga alikuwa mteja sana wa Simba, Simba ilikuwa na uwezo wa kucheza na wachezaji 8 uwanjani na ikaifunga yanga, Leo imekuwaje Simba awe ndio mteja wa Yanga?

Watu wanalalamika kuwa miongoni mwenu hamna uchungu na timu, kwa mfano ukiangalia kikao cha Leo cha bodi, mwenyekiti anaongea mjumbe mmoja anachat na simu, hivi kuna seriousness kweli kwenye kikao?

Tunaomba mtueleze uchaguzi unafanyika lini? Nyie mkiendelea Yanga itaendelea kuwa unbeaten. Simba ndio timu pekee yenye uwezo wa kuamua Yanga aendelee kuwa unbeaten au wafike mwisho.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha kuhemuka wewe. Katika soka ni jambo la kawaida kupanda na kushuka. Unajifanya huzioni Manchester United, Liverpool na Barcelona. Tatizo la watu kama wewe ni ushabiki maandazi tu. Unapiga kelele utadhani unachangia chochote cha maana ktk kuendesha timu. Simba iko pazuri tu kwa maana ya nafasi ktk league ya ndani na nje. Acheni kuwakatisha tamaa watu wanaojitolea mali zao kuendesha timu. Simba yaweza kuwepo bila ya kuwa na shabiki mihemuko kama wewe.
 
Shida yetu ndio hiyo, mnataka tuseme Simba inatisha, Phiri hakabiki, ubingwa wetu, hakuna kipa hapa afrika kama Manula, yule kapombe sio wa kucheza nchi hii, Kennedy kiraka yule.

Ufala huu mimi sifanyi hata siku moja.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Tuko pamoja mkuu. Simba inauawa na wanasimba wenyewe kwa kusifia vitu visivyosifika. Viongozi wanasajili wachezaji wa buku 5 et tusifie tu . Okwa , kibu , akpani , bocco utegemee kuchukua ubingwa wa nbc pl na ufike nusu fainali CAFCL !!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Leo picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha bodi ya wakurugenzi Simba imekutana kufanya kikao chake kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, kikao hicho kimeonyesha kuwa baadhj ya wajumbe hawakuwez kushiriki pengine ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao au wamegomea.Mfano mmoja wa wajumbe Kassim Dewji simuoni katika picha hizo, siku za hivi karibuni Kasssim ambaye historia yake pale Simba ni ndefu sana na kwa wale wasiomjua vzr wanamuona muona tu, alikuwa na sintofahamu na Ceo kabla ya kupatanishwa.

Nataka niwaambie viongozi wa bodi, wanachama na mashabiki wana mengi sana ya kuwaambia, yaani madukuduku kwa uongozi wenu tunayo mengi sana, Simba haijawahi kuwa dhalili kama sasa hivi, tuna mechi ugenini tukimaliza na Ruvu kesho, cjui kama tutaondoka na pointi huko mikoani kutokana na nionavyo katika timu yetu na wapinzani wetu wa jangwani walivyojipanga.

Timu yetu tangu imfurumushe albino imekuwa haieleweki, wachezaji wanaosajiliwa wametuangusha, mashabiki tunatoka uwanjani tukiwa na maumivu halafu watu wanachukulia poa tu.

Kabla ya usajili niliwahi kushauri baadhi ya wachezaji wa kusajiliwa, nikapuuzwa, yanga ikawasajili na Leo wanaonekana mali huku tukiwatolea macho, Yanga kuwa unbeaten kumesababishwa na sisi wenyewe, bila kuweka mikakati Yanga haifungwi na timu yoyote hapa bongo, wa kuifunga yanga ni Simba tu hakuna mwingine.

Yanga alikuwa mteja sana wa Simba, Simba ilikuwa na uwezo wa kucheza na wachezaji 8 uwanjani na ikaifunga yanga, Leo imekuwaje Simba awe ndio mteja wa Yanga?

Watu wanalalamika kuwa miongoni mwenu hamna uchungu na timu, kwa mfano ukiangalia kikao cha Leo cha bodi, mwenyekiti anaongea mjumbe mmoja anachat na simu, hivi kuna seriousness kweli kwenye kikao?

Tunaomba mtueleze uchaguzi unafanyika lini? Nyie mkiendelea Yanga itaendelea kuwa unbeaten. Simba ndio timu pekee yenye uwezo wa kuamua Yanga aendelee kuwa unbeaten au wafike mwisho.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Bilioni 20 jamaa kaweka afutatu
 
Ach

Acha kuhemuka wewe. Katika soka ni jambo la kawaida kupanda na kushuka. Unajifanya huzioni Manchester United, Liverpool na Barcelona. Tatizo la watu kama wewe ni ushabiki maandazi tu. Unapiga kelele utadhani unachangia chochote cha maana ktk kuendesha timu. Simba iko pazuri tu kwa maana ya nafasi ktk league ya ndani na nje. Acheni kuwakatisha tamaa watu wanaojitolea mali zao kuendesha timu. Simba yaweza kuwepo bila ya kuwa na shabiki mihemuko kama wewe.
Ahmed Ali akiongea
 
Watu wanateseka na hii unbeaten ya Yanga
 
Tuko pamoja mkuu. Simba inauawa na wanasimba wenyewe kwa kusifia vitu visivyosifika. Viongozi wanasajili wachezaji wa buku 5 et tusifie tu . Okwa , kibu , akpani , bocco utegemee kuchukua ubingwa wa nbc pl na ufike nusu fainali CAFCL !!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kibu unayemsema msimu uliopita alikuwa mfungaji wenu bora, na akawa mchezaji bora wa mashabiki, unaweza kumdharau Boko ktk historia ya Simba, kapimwe mkojo wewe drv boda boda
 
Back
Top Bottom