OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Akikujibu nitagi😁Mzee Kilomoni alikuwepo??
Amekua mjumbe wa bodi lini?Mzee Kilomoni alikuwepo??
Chama kubwaVIVA SIMBA SPORTS CLUB,,
Basi upande wa pili roho zawaumaaaBig up mnyama
Mzee Kilomoni alikuwepo??
Mbona naona kama kuna Mzee wa Chama la Wananchi hapo. Ni mgeni mwalikwa au ni mjumbe?View attachment 1152627
Uongozi mzuri wa Simba ukiwa kwenye kikao kujadili maendeleo ya club.
Mnaosubiri chama liparanganyike mtasubiri sana