Bodi ya Wakurugenzi Simba yakutana chini ya uongozi wa Mo Dewji

Bodi ya Wakurugenzi Simba yakutana chini ya uongozi wa Mo Dewji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
66699179_1322027927956219_4953584265800450048_o.jpg


Uongozi mzuri wa Simba ukiwa kwenye kikao kujadili maendeleo ya club.
Mnaosubiri chama liparanganyike mtasubiri sana
 
Lini mikia mtakuwa na ofisi yenu?maana hiyo meza Kila siku panazinduliwa vinywaji vipya vya Kanji
 
Dauda: Habari za jikoni, mwekezaji mkubwa wa Simba, Mo Dèwji kuachia ngazi ndani ya masaa kadhaa.

Hii ni wiki bili sasa.
 
Back
Top Bottom