Body Exercise

Body Exercise

Kwa hyo kula wali,ugali na chipsi ndyo uchumi wako uko vibaya?
Kula ugali ,wali kunabana matumizi...mfano samaki za kula na kushiba unaweza kununua kuanzia elf 5 wakati wali au ugali wa elf 5 unakula week nzima..

Ndio maana kwenye chakula mboga zinakuwa chache sababu huwa ni expensive
 
Labda upo sahihi!! Mi ni nipo mwanza ...nikinunua nyama nusu sh 3000 na maparachichi mawili kwa elfu moja then elfu moja iliyobaki naweza nunua nyanya kwa ajili ya kachumbari au maziwa so closed budget kwa siku ni hyo hyo 5000
 
naona watu wanajifariji uko juu kitu msichojua ni kuwa siku mkiishiwa nguvu hamuwezi ata kufanya mazoezi ndio mtajua usumbufu wa iyo miili chukulia umeanguka na uwo mwili mpaka watu waitane na kukubeba ni majariwa tu lakini kama una mwili wa kawaida ata mtu mmoja anakubeba faster bila kusumbua wengine
 
Back
Top Bottom