Kwa hyo kula wali,ugali na chipsi ndyo uchumi wako uko vibaya?Uchumi wako uko flesh mkuu...kula samaki ,nyama ,matunda kama mlo sio kazi ndogo lazima utumie budget ya maana
Kula ugali ,wali kunabana matumizi...mfano samaki za kula na kushiba unaweza kununua kuanzia elf 5 wakati wali au ugali wa elf 5 unakula week nzima..Kwa hyo kula wali,ugali na chipsi ndyo uchumi wako uko vibaya?
Labda upo sahihi!! Mi ni nipo mwanza ...nikinunua nyama nusu sh 3000 na maparachichi mawili kwa elfu moja then elfu moja iliyobaki naweza nunua nyanya kwa ajili ya kachumbari au maziwa so closed budget kwa siku ni hyo hyo 5000Kula ugali ,wali kunabana matumizi...mfano samaki za kula na kushiba unaweza kununua kuanzia elf 5 wakati wali au ugali wa elf 5 unakula week nzima..
Ndio maana kwenye chakula mboga zinakuwa chache sababu huwa ni expensive