Body Language Akinadada Tafadhali Tujuzeni

Kichakoro na GFM ndo unapaswa uelewe kwa nini kamwacha Juma au John kakufuata weye kukuomba ushauri.......jiulize kama kuna incidencs nyingine awkward amehakufanyia kisha soma alama za nyakati jamani.................
Hapoo sasa MJ1, maana wengine ni ile namna swali linavyoulizwa .......... wala sio kiatu ........ mie na jicho, body inavyozunguswa hapa ili uone pande zote. Na wengina hata kukuegemea/angukia ...... Nyama yao sijui yuko wapi nasikia yeye anakupitu kwa juu .............:smile-big:
 
Si ndo hapo sasa.............. ungeielewa lugha hii si ajabu ungeandika historia kaka yangu
Hapo mwaya ushamba wangu ulinioka ........... she was hot though ........ I won't like about that........
 
Hahahahah GFM......................jamani kufumba au kutokufumba macho inahuu?? Wajua huwezimjaji mtu kwa kufumba au kutofumba macho wakati wa shughuli jamani tumetofautiana na wote hatuko kwenye position ya kujaji kuwa hapa yuko real au la....kuna wale ambao wakifumba macho humaanisha hasa na kuna wale ambao anafumba macho huku akivuta hisia ya mtu mwingine.......so its hard kujua which is which............... So haijalishi kama kafumba macho au lah cha muhimu ni wewe kuwa mbunifu............. make sure you are a good kisser bana.... kuwa mbunifu kama leo umenikiss kwa kumeza milips yangu yote basi kesho tumbukiza lip ya chini tu....................kama leo umekiss kwa kutoa ulimi wako wote na kunilowesha na mimate yake......kesho bania usitoe ulimi wote yaani nawe kuwa mbunifu banaaa
 
Mauzauza haya KC mi nlidhani the opposite ndio ingekuwa problem ............... wanasema hawa viumbe ni tofauti, kila mmoja kwa aina yake........ msome wako na umuelewe ipasavyo......... tatizo nikwamba
alama moja yaweza kuwa na maana zaidi ya moja hapo ndio :confused2:
 

CM MJ1 unajua we don't have control on that ........ yaani nijifanye ati leo natoa ncha ya ulimi tu ........ wakati mwenyewe waitaka yote si unantakia ugovie mie hapo .......... umeshapigwa kabali ya shingo
na hata kama mpo kwanye lift haijalishi ........ siku nkitoka kasafari huwaga najiandaa maana
.......... sijui tukiwa hatupo kwa muda huwa mnachaji ...:smile: Afu hapo kwenye red hapo mi ndio mnani-killlll I don't know what to say ......... tuoneeni huruma wajameni ...:rain:
 

Hahhahahaha

Take me back into your arms again
Ill be waiting for u, here inside my heart
I ll be the once to love more..................................ctaki kesi G.
 
Hahhahahaha

Take me back into your arms again
Ill be waiting for u, here inside my heart
I ll be the once to love more..................................ctaki kesi G.

Hahah ..................:welcome:................home...................
U don't have to wait any longer..............enough ........... here I am ..........
ready to love u much more this tyme.............:banplease: haya macho jamani...........
 
Kama kuna kitu kinanipiga chenga kukielewa ni kutafsiri hii kitu inaitwa body language. I will learn the hardway
 
Pitia pitia humu ndugu yangu nilikuw na kungwi ananifunza maana izi halama za nyakati
kweli zahitaji darasa ..........
 
Pitia pitia humu ndugu yangu nilikuw na kungwi ananifunza maana izi halama za nyakati
kweli zahitaji darasa ..........

Najaribu kuzielewa.Tatizo la mtu kama mimi napenda kuona au kuambiwa kitu kama kilivyo. Ukimuona mtu anarembua macho ukamsogelea kumbe anamkumbuka mpenzi wake wa zamani akakuumbua itakuwaje? I don't really understand body language
 
Yaani mnabemenda bila huruma.......haya weee...
 

PJ nijuze kwenye namba 4 wanatoa message gani?
 
Yaani mnabemenda bila huruma.......haya weee...
Questt, ndio mambo ya body language haya, nnafundwa mwanaume, karibu tujifunze/
nifunze .................
 
Najaribu kuzielewa.Tatizo la mtu kama mimi napenda kuona au kuambiwa kitu kama kilivyo. Ukimuona mtu anarembua macho ukamsogelea kumbe anamkumbuka mpenzi wake wa zamani akakuumbua itakuwaje? I don't really understand body language
U just apologies and go ........... naambiwa hutakiwi kuwa mgumu ............. itabidi utafute wa kukufundisha one-on-one sijui fee yake
itakuwa kiasi gani........... waulize wenyewe ........
 
PJ nakubaliana na wewe 100% hizi alama za mwili zinakuwa kila siku............... Rose ana MJ1 sijui mnaweza tuandikia
ka-summary. Katatusaidia kukufanya muwe-happy na sisi pia!

mmh i wsh 2 bt its....
km vp ntakupa vtabu uvchek
 

apo kuna vtu viiiiiiiing ...lakin usijaribu kuzan uyu dada ananitaka et ananipigia simu uyo,ananishkla mkono..apo inaweza ikawa yes au noooo...mnafel saaaaaaaana pale mtu anapokuwa social kwako afu nyinyi et mnaona ahhh uyu anantaka......apana
issue yako ndefu bwana kuandka apa siwez...........
 

Hivi we mrembo, hiyo avatar yako nayo ni body language au??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…