Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!
1.Uvaaji wa maneno fulani inaitwa VIKUKU, nasikia inatoa ujumbe kwa walaji!
2.Sketi fulani za mipasuo ya aina yake inatoa ujumbe muafaka, pia uvaaji chachandu!
3.Nasikia wasichana wengine wanabeba kwenye mkoba funguo za gari na anahakikisha anakuonyesha, ili ujue kuwa hongo isipungue full-tank ya mandolin yake!
4.Wanaotembelea baa wanajua msichana au mwanamke akichagua siti ya peke yake kwenye bar anatoa ujumbe gani!
Body language nayo inakua, just like lugha ya maneno inavyokua!
Nawasilisha!