Body Language Akinadada Tafadhali Tujuzeni

Body Language Akinadada Tafadhali Tujuzeni

Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!

1.Uvaaji wa maneno fulani inaitwa VIKUKU, nasikia inatoa ujumbe kwa walaji!
2.Sketi fulani za mipasuo ya aina yake inatoa ujumbe muafaka, pia uvaaji chachandu!
3.Nasikia wasichana wengine wanabeba kwenye mkoba funguo za gari na anahakikisha anakuonyesha, ili ujue kuwa hongo isipungue full-tank ya mandolin yake!
4.Wanaotembelea baa wanajua msichana au mwanamke akichagua siti ya peke yake kwenye bar anatoa ujumbe gani!

Body language nayo inakua, just like lugha ya maneno inavyokua!

Nawasilisha!

PJ, nimeukubali huu mchanganuo wako!
icon14.gif
 
karibu tena mama bila wewe jamvi halianuliwi mpaka ufike, nimependa uchambuzi wako, nitumie hicho kiiatbu tafadhali maana hili nalo linanisumbua, nilitoswa na mtu coz ckusoma alama za mwili wake mi nikajua anaumwa, i was about 19 at that time hadi sasa akiniona analizungumzia hilo halafu ananicheka na kunidharau, 2kikutana ananiuliza umekua au bado cku ukikua utaniambia? Sasa swali hili nalo ni part ya hii body language
duh pole ferds ila nahisi huyo dada alikuzid umri bwana au nakosea
 
Jamani mi ctaki mwajua mtanifanya niseme yasofaa ati......... maana nilichokisema mwanzo ni kwa wale waliobarikiwa kuwa pamoja under one roof........... kwa wakuibia jamani body language ni muhimu...hebu imagine mama mwenye nyumba akiwa anataka toka kwa shemejiye?? au shamba boy??....wadhani atamwambia nataka?................ah bwana we hakawii kupiga ukelele kaona mende lakini ukelele wenyewe akitokea mlengwa ye anavua nguo!!! au kaona panya nyumba ya pili ye anadandia juu ya meza huku up.ja u wazi.....sasa hapa asiyejua body language atakazana kutafuta fagio aue mende pasipo kujua kuwa mende ni kisingizio tu ...........au mtu kapiga kelele za mende lakini ukifika wamkuta kainama kimtego akitetemeka kiuno tu..............mi ctaki
 
hahha hahah amechoka?
na joto ili la dsm?
mmh aya
mbona kajisahau leo tu na leo mchana tuligombana?
Rose naomba mimi nikuulize hivi:

  1. Nipo na mdada na tumebaki kama tulivyozaliwa kitandani, lakini nikipeleka mkono wangu kuelekea kwenye mafiga ya nyuma hudai kuwa hapendi, lakini ukimwachia anageuka na kukupa mgongo huku ukipeleka vifaa vyako zero distance anatulia...! Kulikoni?
  2. ninatembea njiani, napishana na mdada, lakini baada ya kusalimiana na kupishana, nafika kama umbali wa mita 20+ na naangalia nyuma nakuta naye kageuka....!
  3. Kila nikikutana na mdada fulani lazima aniulize mke/GF wangu....!
  4. Kila nikitemebea naye mtaani na mbele ya watu, hujitahidi kunisogelea na mara nyingine huchukua mkono wangu ili tutembee tukishikana mikono...!
  5. Kila nikikutana na mdada fulani, na tukakaa kwa muda kupiga strory, mara nyingi hupenda kuanzisha story za mahusiano, kama ni sisi wawili tu; hasa kwa kunisingizia kuwa nipo na fulani, mara fulani, leo fulani....!
  6. Mdada nisiyewahi hata kumwambia nia yeyote, lakini akanipigia simu saa tano usiku, na akaishia kuwa alitaka kunisalimu tu.....!
 
Mh GFM bwana.......... haya ngoja tujaribu.

Kiutamaduni lugha za mwili hasa kwa watoto wa kike hutakiwa kufanyiwa farghani na mwandani tu........ ni zile zinazoashiria aina flan ya uhitaji (Nakumbuka kama ile thread ilikuwa inauliza kuwa kama kina dada twataka "hifadhi" mbona huwa hatusemi wazi kama mfanyavyo kina kaka. Sasa linapokuja swala la uhitaji wa 'hifadhi' mtoto wa kike wa enzi hizoo hakutakiwa kusema wazi kuwa bwana wewe mie leo nataka......... la hasha bali mdada ataonyesha tangu asubuhi lol macho yataongea.........kuashiria upendo na uchokozi flani, atakuvalia vijiguo vya uchokozi flani, kama ni jioni ndo usharudi nyumbani basi usijeshangaa kuvaliwa khanga ya india ilolowana au chochote cha kuamsha shughuli............ zamani nakumbuka wengine walikuwa wanaweka zile bulb nyekundu chumbani ........mzee akiingia hapewi hata nafasi ya kuangalia nyuzi atashangaa tu mama mapemaaaa chumbani na mziki laini, tabasamu pana ilimradi ilikuwa ni ishara flani.........

Lakini pia kama siku hiyo hakuna "lishe" usishangae kuona mpishi akivua apron ya jikoni na kukuvalia jeans............ mwingine ankupigia kufuli zile za bibi zile ......... au mwingine ikifika muda wa kulalal yeye ndo kwanza anatoa masufuria akasugue nje at...................

MJ1 hujambo lakini........... hapo kwenye pink hapo ndio mie nnapotaka ........ maana
usipoelewa hizi alama za mwili saa nyingine unawezanuniwa wiki mzima, si unajua mlivyo na visa :lol: ............. mnakuwa mnaongea vizuri mmemaliza kula, mara unaona laundry
bag linatole nje na sabuni ..... ukiangalia muda saa nne usiku :thinking:
 
Sasa GFM..........una mpango wa kunifanya niongeze lenz ya miwani yangu eh? Font gani hii ya kuniwekea mtoto wa mwanaume mwenzio??

Pole mtoto wa mwenzangu ........nimekusona and will change it most urgently .....
 
mim naelewa..naweza zungumza na wewe kwa body language tu
wewe tunakaaa sehemu tu kwa dk 30 tukitoka apo naweza nkakuandikia profile yako nzima juu ya abcd.....
gestures /body language ni rahisi sana kuisoma na wala haidanganyi mimi mtu simsikilizagi maneno yake nachek action +gestures zake tu unaweza ukampata mazima anataka nini ,anawaza nini,anataka kufanya nini na unajua umfanyaje accrdngly iwe hm,ofc au popote pale....
--wakat tupo chuo kulikuwa na vitabu ivo vya body language n alike..ata uku mtaani vipo kibaaaooo +kuna kaz nyingine ni lazma mpewe coz ya body language n saikoloj sjui nanini tena...haaaaaaaaaaaaaa nimechoka kuandika babu weeeeeeeeee byeeeeeeeeee:yield::yield:

Unapatikana wapi wewe unifunze maana nanihii hapa kilasiku anakuja na kitu kipya tu .......... mara leo kapatula kitandani
siku nyingine duka wazi lakini naambiwa do'nt touch :nono: ............ sasa nimelewa
 
mapenzi yanawakilishwa na vitu tofauti.

siyo lazima kuongea, ninapokuwa na bwana mkubwa akiona mara nimemtumia ua, mara kisses, akirudi hm nipo na ukanga mmoja,madeko kwa wingi yeye mwenyewe anajua leoooo mama zimepanda,

siku nyingine mambo yanakuwa tofauti akili inawaza pesa na yeye mwenyewe anajua

hapo siku akili inapokuwa kwenyepesa ndio nataka kufahamu ishara zake jamaini ......
 
PJ nakubaliana na wewe 100% hizi alama za mwili zinakuwa kila siku............... Rose ana MJ1 sijui mnaweza tuandikia
ka-summary. Katatusaidia kukufanya muwe-happy na sisi pia!
 
karibu tena mama bila wewe jamvi halianuliwi mpaka ufike, nimependa uchambuzi wako, nitumie hicho kiiatbu tafadhali maana hili nalo linanisumbua, nilitoswa na mtu coz ckusoma alama za mwili wake mi nikajua anaumwa, I was about 19 at that time hadi sasa akiniona analizungumzia hilo halafu ananicheka na kunidharau, 2kikutana ananiuliza umekua au bado cku ukikua utaniambia? sasa swali hili nalo ni part ya hii body language
Feds, na wewe ulisoma enzi zilie .......... maana unajikuta uko darasa moja na watoto wa kike waliopevuka ........
alafu hujui hizi ishara basi inakuwa taabu kabisa ..........
 
Hivi ukiwa unatembea njiani ama unafanya kazi ofisi fulani ambayo inakioo transparent.

Then Kila mwanadada mzuri akipita na akakuona kwamba unamuona anaanza kutingisha makalio yake maana yake nini?

Wakati mwininge, unamkuta mdada anataka kununua viatu, watu wapo wengi lakini anakufuata na kuanza kukuuliza nimependeza
(anaacha wooote anakuja kwako tu) na humfahamu. Je wanamaanisha nini?

Rose, MJ1 msaada kwa Kichokoro hapa ......... mie huwa naishiaga tu kusema umependeza maana wengine
huwa hawataki kusikia kitu kingine ............ nilishaambiwa na jamaa mmoja akinadada huwa wanapenda kudanganywa
sijui kama kunaukweli hapo lakini:thinking:....... saamahani ladies hapa mie mjumbe tu :lying:
 
Jamani mi ctaki mwajua mtanifanya niseme yasofaa ati......... maana nilichokisema mwanzo ni kwa wale waliobarikiwa kuwa pamoja under one roof........... kwa wakuibia jamani body language ni muhimu...hebu imagine mama mwenye nyumba akiwa anataka toka kwa shemejiye?? au shamba boy??....wadhani atamwambia nataka?................ah bwana we hakawii kupiga ukelele kaona mende lakini ukelele wenyewe akitokea mlengwa ye anavua nguo!!! au kaona panya nyumba ya pili ye anadandia juu ya meza huku up.ja u wazi.....sasa hapa asiyejua body language atakazana kutafuta fagio aue mende pasipo kujua kuwa mende ni kisingizio tu ...........au mtu kapiga kelele za mende lakini ukifika wamkuta kainama kimtego akitetemeka kiuno tu..............mi ctaki

MJ1 ..now you'r talkin .......nilishawahibanwa na nurse mmoja I will never forget, tatizo nilikuwa kijana mdoga sana sijui kidato cha pili kila akitoka kazi lazima apitie nyumbani aongee na mama yangu halafu aniulizie na kuomba nimsaidi sijui kunyanyua kitu fulani nyumbani kwake. sasa humo ndani kwake ndio
ilikuw taabu maana hii body language ndio kwanza nilikuwa naisikia tu.......mwisho aliona I was no
show/ sielewi anaongea lugha gani .........akakat tamaa na kuhama mtaa ........ I am happy though :rip:
 
Hapo kwenye red huwa mnatukiriaje, duu coz napenda sana kutembelea bar, natafuta kisehemu kilichotulia nakaa
Bar ipi iyo Bibie ........ wateja wa valuer wapo wengi tu humu .......:smile-big:
 
Rose naomba mimi nikuulize hivi:

  1. Nipo na mdada na tumebaki kama tulivyozaliwa kitandani, lakini nikipeleka mkono wangu kuelekea kwenye mafiga ya nyuma hudai kuwa hapendi, lakini ukimwachia anageuka na kukupa mgongo huku ukipeleka vifaa vyako zero distance anatulia...! Kulikoni?
  2. ninatembea njiani, napishana na mdada, lakini baada ya kusalimiana na kupishana, nafika kama umbali wa mita 20+ na naangalia nyuma nakuta naye kageuka....!
  3. Kila nikikutana na mdada fulani lazima aniulize mke/GF wangu....!
  4. Kila nikitemebea naye mtaani na mbele ya watu, hujitahidi kunisogelea na mara nyingine huchukua mkono wangu ili tutembee tukishikana mikono...!
  5. Kila nikikutana na mdada fulani, na tukakaa kwa muda kupiga strory, mara nyingi hupenda kuanzisha story za mahusiano, kama ni sisi wawili tu; hasa kwa kunisingizia kuwa nipo na fulani, mara fulani, leo fulani....!
  6. Mdada nisiyewahi hata kumwambia nia yeyote, lakini akanipigia simu saa tano usiku, na akaishia kuwa alitaka kunisalimu tu.....!

inawezekana anatakakujua hali ya familia yako tu ndugu.......... mie naogopa kufanya-over interpretation
Afu namba za simu huwa hazitolewi ovyo .......... haswa kwa kinadada ambao hamna mahusiano au undugu
mzungu wa kike akikupa namba ya simu yake usipompigia unakesi ........ kama kakaa nje atakuwa kafikiria
na huku mambo ndio hivyo ............. MJ1 sijui nimepatia hapo ..... au bado nafeli mtihani .......
 
GFM acha mapenzi yaitwe mapenzi jamani.................. lakini ikumbukwe pia hata sie kina dada twapenda body language toka kwa wenzi wetu jamani.......niko jikoni nakuandalia mahamjumati we wajifanya wajakunywa maji....ukiniprick kiaina kwenye mbavu yatosha kunijuza kuwa leo kigudi chahitajika ati so mbiooo MJ1 ntakimbilia bafuni kuweka mahanjumati kama chachandu, kubadili mavazi ili mradi kuongezea chachandu..........

Kuna wengine wamejaliwa macho bibi so analinakshi kwa kungu na bidhaa nyingine mradi amjulia mwenzi wake............GFM usintafute ugomvi mie ctaki ati
 
MJ1 ..now you'r talkin .......nilishawahibanwa na nurse mmoja I will never forget, tatizo nilikuwa kijana mdoga sana sijui kidato cha pili kila akitoka kazi lazima apitie nyumbani aongee na mama yangu halafu aniulizie na kuomba nimsaidi sijui kunyanyua kitu fulani nyumbani kwake. sasa humo ndani kwake ndio
ilikuw taabu maana hii body language ndio kwanza nilikuwa naisikia tu.......mwisho aliona I was no
show/ sielewi anaongea lugha gani .........akakat tamaa na kuhama mtaa ........ I am happy though :rip:
Si ndo hapo sasa.............. ungeielewa lugha hii si ajabu ungeandika historia kaka yangu
 
Rose, MJ1 msaada kwa Kichokoro hapa ......... mie huwa naishiaga tu kusema umependeza maana wengine
huwa hawataki kusikia kitu kingine ............ nilishaambiwa na jamaa mmoja akinadada huwa wanapenda kudanganywa
sijui kama kunaukweli hapo lakini:thinking:....... saamahani ladies hapa mie mjumbe tu :lying:

Kichakoro na GFM ndo unapaswa uelewe kwa nini kamwacha Juma au John kakufuata weye kukuomba ushauri.......jiulize kama kuna incidencs nyingine awkward amehakufanyia kisha soma alama za nyakati jamani.................
 
GFM acha mapenzi yaitwe mapenzi jamani.................. lakini ikumbukwe pia hata sie kina dada twapenda body language toka kwa wenzi wetu jamani.......niko jikoni nakuandalia mahamjumati we wajifanya wajakunywa maji....ukiniprick kiaina kwenye mbavu yatosha kunijuza kuwa leo kigudi chahitajika ati so mbiooo MJ1 ntakimbilia bafuni kuweka mahanjumati kama chachandu, kubadili mavazi ili mradi kuongezea chachandu..........

Kuna wengine wamejaliwa macho bibi so analinakshi kwa kungu na bidhaa nyingine mradi amjulia mwenzi wake............GFM usintafute ugomvi mie ctaki ati

MJ1 mngekuwa wepesi namna hiyo mbona tungekuwa na starehe sie watoto wa wenzenu... .... hafu mie na macho jamini ...:smiling: ivi wakati wa dendas huwa lazima kufumba macho? na wasiofumba waashiria nini :thinking:
.. hebu endelea kunifunza bibie najua siku zote hutaki .......siku mojamoja mtoto unaingia gea ......LOL
 
Back
Top Bottom