Body language ya mkuu wa kaya inaonyesha kuwa kisu kiligusa mfupa

No reform no election
 
Samia ni Rais bora kabisa kuwahi kutokea.
 
Mzee una boa
 
Naona Mkuu umeamua kufoka kwa kutumia vidole🤣🤣🤣
 
Maana alidiriki kutamka kuwa kuwa waliopo pale ni viongozi wa dini wa kweli kisa tu wapo kimya....😀
 
Hakika kila jambo lina mwisho wake! Kama ambavyo hukuweza kuendelea kuandika, japo umeandika parefu lakini hatimaye, ulifika mwisho na ukaweka kalamu yako chini!
Huyo kaweka uchafuzi, na hajatumia 'Kalamu'.

Watu wa aina hiyo ni rahisi kugeuka kuwa maadui wa kazi hii nzuri inayo andaliwa sasa hivi ya :NO REFORMS, NO ELECTION."
You're doing a diservice to the noble idea!
 
Maana alidiriki kutamka kuwa kuwa waliopo pale ni viongozi wa dini wa kweli kisa tu wapo kimya....😀
Na ukitazama kwa makini, ni "THEME" hiyo hiyo inatembea (trend) katika siku kuu hii ya Eid, leo!

Ulaghai ni tabia ya hovyo sana.
Mtu unapotegemea ulaghai, unajiona wewe upo sahihi kwa kila kitu, unasahau kuwa wanaokusikiliza wanakuona kama hazikutoshi kichwani.
 
No Refoems haitamwacha mtu salama.
 
Na bado hajasema, pumbavu

No reforms no Election✌🏾✌🏾
 
tunaomba aendelee kushupaza shingo hivyo hivyo ili Mungu ashuke kutoa hukumu. hakuna kiburi ambacho Mungu hajawahi kukishusha, Mungu yupo.
 
Hakika kila jambo lina mwisho wake! Kama ambavyo hukuweza kuendelea kuandika, japo umeandika parefu lakini hatimaye, ulifika mwisho na ukaweka kalamu yako chini!
Ndugu mwandishi!
Je mwisho wa ccm unauongeleaje sasa!!
ambao ni hapo November tu
Ambapo watu milioni nne tutakuwa baabaaani tukiimba no reform no election
Ni wakati ambao mandata watajaribu kuzuia mafuriko na yatawatoa kamasi mwisho wake watakimbia kujificha na kubadili jezi kisha waje kukaa mbele wakiimba pambio la no reform no election kama sio wao vile ili watu wasiwajue
Je unauongeleaje???
Hili ni swali
 
NOO RIFOMU NOO ELEKSHENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…