Hiyo ni CCM style kuongoza mabubu na viziwi wasioweza kuongea, kusikia wala kuhoji!Nimefuatilia kwa umakini hotuba yake alipokuwa anachangia harambee ya shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
Body language na facial expression inaonyesha kuwa kisu hajikata nyama peke yake. Mfupa pia umeguswa .
Maana alidiriki kutamka kuwa kuwa waliopo pale ni viongozi wa dini wa kweli kisa tu wapo kimya....