Nimefuatilia kwa umakini hotuba yake alipokuwa anachangia harambee ya shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
Body language na facial expression inaonyesha kuwa kisu hajikata nyama peke yake. Mfupa pia umeguswa .
Maana alidiriki kutamka kuwa kuwa waliopo pale ni viongozi wa dini wa kweli kisa tu wapo kimya....