Body morphology ya Mwigulu inaongea mengi, tutarajie ya Nchimbi?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno

Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno

Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka ameacha

Tutarajie jambo jipya?
 
Kuwa mwanasiasa kwenye hii nchi sometimes ni kazi rahisi sana endapo utajua tabia za wananchi unao dili nao.

Ujinga wa watanzania ni kuanza kumuona Mwigulu mtu safi kupitia maneno machache aliyosema.

Wamesahau mabaya yake yote ambayo waliyofanya wamchukie.

Lakini leo ameanza kuwafaa na sasa wanamuona shujaa wao.

Ndio maana muda mwingine hata kitengo cha propaganda hakitumii energy kubwa kubadilisha upepo wa kisiasa kwa kuwapatia wananchi content ya kujadili.
 
Hawamjui Mayu wanadhani ni kama wao yule ni Mafia boss
 
Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno

Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno

Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka ameacha

Tutarajie jambo jipya?
Wakisha tumaliza, watageukiana KUMALIZANA WENYEWE KWA WENYEWE!
HATUWAONEI HURUMA KABISA KABISA KABISA!
 
Back
Top Bottom