profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wadau,naomba msaada kutaka kujua kuwa kwa hapa dar naweza pata wapi BODI ya toyota noah road tourer 2000, 2WD, na bei kwa makadirio.
View attachment 2191182
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tandale kubwa ndugu yangu,nielekeze ukitokea taa za magomeni,morogoro na kawawa,,au za kanisa katoliki njia panda kwenda sinza..Nenda Tandale utapata
Tandale Kwa wauza spare used au wakata magari hapo Magomeni Kanisani unapoenda Mkwajuni katisha upande wa Kushoto Kuna mataa hiyo njia inaenda Tandale mpaka Sinza. Ukikaribia Tandale utakuta gari zimekatwa njiani upande wa kulia na kushoto ukiwauliza hao ndipo utaipata.tandale kubwa ndugu yangu,nielekeze ukitokea taa za magomeni,morogoro na kawawa,,au za kanisa katoliki njia panda kwenda sinza..
asante sana mkuuTandale Kwa wauza spare used au wakata magari hapo Magomeni Kanisani unapoenda Mkwajuni katisha upande wa Kushoto Kuna mataa hiyo njia inaenda Tandale mpaka Sinza. Ukikaribia Tandale utakuta gari zimekatwa njiani upande wa kulia na kushoto ukiwauliza hao ndipo utaipata.