Body ya Noah Road Tourer 2000

Body ya Noah Road Tourer 2000

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wadau,naomba msaada kutaka kujua kuwa kwa hapa dar naweza pata wapi BODI ya toyota noah road tourer 2000, 2WD, na bei kwa makadirio.

IMG_20220417_213628.jpg
View attachment 2191182
 
tandale kubwa ndugu yangu,nielekeze ukitokea taa za magomeni,morogoro na kawawa,,au za kanisa katoliki njia panda kwenda sinza..
Tandale Kwa wauza spare used au wakata magari hapo Magomeni Kanisani unapoenda Mkwajuni katisha upande wa Kushoto Kuna mataa hiyo njia inaenda Tandale mpaka Sinza. Ukikaribia Tandale utakuta gari zimekatwa njiani upande wa kulia na kushoto ukiwauliza hao ndipo utaipata.
 
asante sana mkuu
 
Bajeti yako sh ngapi kuna body kama hiyo namba DGH limesimama sana liko garage fulani, kama upo serious nicheki pm nikuunganishe nao.
 
Back
Top Bottom