Body ya Noah Road Tourer 2000

tandale kubwa ndugu yangu,nielekeze ukitokea taa za magomeni,morogoro na kawawa,,au za kanisa katoliki njia panda kwenda sinza..
Tandale Kwa wauza spare used au wakata magari hapo Magomeni Kanisani unapoenda Mkwajuni katisha upande wa Kushoto Kuna mataa hiyo njia inaenda Tandale mpaka Sinza. Ukikaribia Tandale utakuta gari zimekatwa njiani upande wa kulia na kushoto ukiwauliza hao ndipo utaipata.
 
asante sana mkuu
 
Bajeti yako sh ngapi kuna body kama hiyo namba DGH limesimama sana liko garage fulani, kama upo serious nicheki pm nikuunganishe nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…