Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Inasemekana Boeing ndege zake ni nzuri zaidi kuliko ndege za Airbus, uzuri wa Airbus ni comfortability kwa ndani, wakati Boieng ina ladha yake yake kwa ndani na kwa nje tofauti na Airbus.
Kwenye comments mbalimbali zinahusiana na Aviations mtandaoni, Ma-Pilots wengi wanapenda kuendesha Boeing kuliko Airbus, Airbus kinachowakera ni joystocks wakato boing ile usukani ambao ni rahisi kuucontrol na vikorokoro vingine vya ndani.