BOEING vs AIRBUS

BOEING vs AIRBUS

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Inasemekana Boeing ndege zake ni nzuri zaidi kuliko ndege za Airbus, uzuri wa Airbus ni comfortability kwa ndani, wakati Boieng ina ladha yake yake kwa ndani na kwa nje tofauti na Airbus.

Kwenye comments mbalimbali zinahusiana na Aviations mtandaoni, Ma-Pilots wengi wanapenda kuendesha Boeing kuliko Airbus, Airbus kinachowakera ni joystocks wakato boing ile usukani ambao ni rahisi kuucontrol na vikorokoro vingine vya ndani.
 

Attachments

  • fly-by-wire-a380.jpg
    fly-by-wire-a380.jpg
    32.4 KB · Views: 636
  • A380-displays.jpg
    A380-displays.jpg
    25.3 KB · Views: 307
Mimi nadhani zile ndege ndogo za caravan ama Cessna ni nzuri zaidi maana sijawahisikia majanga yaliyosababishwa na ndege hizo
 
Back
Top Bottom