Boflo yapanda bei Zanzibar

ndio mana ni migumu sababu haiwekwi mafuta na ukiiangalia unaiona tu inatengenezwa kinyumbani nyumbani duh haya enjoy mlo wako
 
Poapoa
 
😂😂😂😂😂 sasa s angekua na akiba akala anachotaka?? asubuhi urojo mchana urojo hahahhaa nimecheka, mimi kinachonishinda ni wali yan wali ni guarantee mchana na mchuzi huo kama juisi
Mmhhhh unatunanga sana aiseeee
 
Ni eggchop mkuu sio ekchop
 
Msijifanye high class kutwa mnashindia mrenda na kambare ...huku wanyamwezi hamtoki kwenye foleni za urojo
Ukiwakuta mtendeni pale kwa kijiko au kwa kombo na miwigi yao utaskia tunataka "ulojo"

Hahahaahahahaha
 
Tukisoma comment zenu humu utadhani wabongo kama raia wa Brunei vile kumbe ingia huko chocho shida tupu
Sitosahau siku nliyopita dodoma nikawa nakula kuku, basi ile mifupa ninayotupa kutoka kwenye bus kumbe kuna watoto wanaiokota na kula. Machozi yalinitoka, bus lilikuwa limesimama ilibidi nishuke nkawafuate wale watoto aiseeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…