Boflo yapanda bei Zanzibar

Boflo yapanda bei Zanzibar

That should tell you kwamba hii bidhaa ni nzuri na tamu. Imekubalika for years now na wala hakuna dalili ya watu kuisusa. Ni mkate ambao ni mzuri na mtamu haswa kiladha na kiafya. Hautengenezwi kwa kutumia mafuta kabisa

My wife is preparing that for me hapa nilipo hahahaah.

View attachment 2040062
ndio mana ni migumu sababu haiwekwi mafuta na ukiiangalia unaiona tu inatengenezwa kinyumbani nyumbani duh haya enjoy mlo wako
 
hivyo vyote nala hata huo ugali na napendelea ugali mchana nibadilishe mboga tu ni vyakula vichache tu nisivyokula

vile ambavyo ni vigeni kwangu, kwa mfano zenji kuna vitu vinaitwa masheli sheli hayo hayapandi maharage ya sukari hapana kwa kweli viazi mviringo vya naz hapana na list inaendelea
Poapoa
 
😂😂😂😂😂 sasa s angekua na akiba akala anachotaka?? asubuhi urojo mchana urojo hahahhaa nimecheka, mimi kinachonishinda ni wali yan wali ni guarantee mchana na mchuzi huo kama juisi
Mmhhhh unatunanga sana aiseeee
 
niliwahi kuhudhuria harusi nikiwa zenj, yani nilipiga hivo vitu mpaka kifua kikafanya kiungalia kama kuwaka moto kabisa yani dah ilikua tafrani wakati wa kulala usiku.
Kuna katlesi, kababu, ekchop, kuna na moja wanaita tri angle kama hivi unaweza kujisahau ukafakamia.
Ni eggchop mkuu sio ekchop
 
Msijifanye high class kutwa mnashindia mrenda na kambare ...huku wanyamwezi hamtoki kwenye foleni za urojo
Ukiwakuta mtendeni pale kwa kijiko au kwa kombo na miwigi yao utaskia tunataka "ulojo"

Hahahaahahahaha
 
Tukisoma comment zenu humu utadhani wabongo kama raia wa Brunei vile kumbe ingia huko chocho shida tupu
Sitosahau siku nliyopita dodoma nikawa nakula kuku, basi ile mifupa ninayotupa kutoka kwenye bus kumbe kuna watoto wanaiokota na kula. Machozi yalinitoka, bus lilikuwa limesimama ilibidi nishuke nkawafuate wale watoto aiseeee.
 
Back
Top Bottom