Boflo yapanda bei Zanzibar

Boflo yapanda bei Zanzibar

True watu bara hasa kutoka mbeya, arusha, iringa, njombe ukanda wa baridi tukiwapa mchezo wazenji hawatoki kwa kilio cha utamu sio hao wa pwani mdebwedo sana[emoji1][emoji1][emoji1]
Angelijua kama mimi ndo nampelekea moto dadaake kutoka Mbeya ...tena ni mama mchungaji angelikaa kimnya!!
 
Umenikumbusha mbaali sana! Mkate wa siha toka National milling,Dar. miaka ya 80 hivi.
Duh.!
Kumbe kuna vibabu humu vilivyoshiriki kupigania Uhuru?
Hongera sana Mzee kwa kutumia jf
ViPi lakini kimaisha umetoboa au bado unapambana?
Maana kwa umri huo taa ya oil imeshawaka
 
Duh.!
Kumbe kuna vibabu humu vilivyoshiriki kupigania Uhuru?
Hongera sana Mzee kwa kutumia jf
ViPi lakini kimaisha umetoboa au bado unapambana?
Maana kwa umri huo taa ya oil imeshawaka
Kweli kuna Binadamu na Viatu..., yaani unadhihaki wazee kwa kusifia ujana wako...., Hussein mkenaguzi Naombea huyu kiumbe msamaha kwa niaba ya kizazi chetu kama hii ndio product ya sasa kweli kuna sehemu tulikosea....
 
Wakijitenga mwarabu anaingia hapo.
Maisha yatakuwa mazuri
Zanzibar pazuri Sanaa napapenda Sanaa.
ViPi ulipokuwa huko matatizo yako yote ya huko nyuma yalitatuliwa?
Maana nasikia watu wa huko ni wakarimu Sana hasa Kwa wageni
 
Duh.!
Kumbe kuna vibabu humu vilivyoshiriki kupigania Uhuru?
Hongera sana Mzee kwa kutumia jf
ViPi lakini kimaisha umetoboa au bado unapambana?
Maana kwa umri huo taa ya oil imeshawaka
Ha ha ha, wewe una antidote ya uzee?,, Kila mtu anazeeka kadri mda unavyoenda, ukiwamo wewe
 
haha kwan wewe hupendi vitamu?? mimi nikiendaga huko napendaga hizo bites zao huku nilipo ni gharama au nitengenezemwenyewe nikiwa na muda na n mara chache hufanya hivo lakini nikienda huko nafaidi kweli kweli
Haya madam Sisi tunamalizia siku huku na uvipendavyo

20211211_213237.jpg
 
Angelijua kama mimi ndo nampelekea moto dadaake kutoka Mbeya ...tena ni mama mchungaji angelikaa kimnya!!
Haijikutokea fatilia utagundua hilo mimi ninaushahidi mbaka kesho yahee mmoja huwa hanisahau hata akisikia nimeenda zenji atatoroka tu masaa matatu napiga 6 we unafanya mchezo nini, mtoto full kuning'ata tu 😀😁😁😀
 
Back
Top Bottom