Bofya hapa>Tusaidieni jaman tuliopata div.4 point 32 {2013}kuhusu vyuo

Bofya hapa>Tusaidieni jaman tuliopata div.4 point 32 {2013}kuhusu vyuo

Arash charlz

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
50
Reaction score
1
Mimi ni mhtimu wa 4.mwaka 2013 na matokeo yangu ni div.4.32 na nimefeli chem kwa kupata E,na math F, Pia nimefaulu engl C,na kisw B,yaliyo baki yote D.Sasa naomba ushauri wako kuhusu kusoma chuo bora na kozi bora yenye ajira
 
Uwalimu bila kipangamizi! Tena utachaguliwa BUTIMBA TEACHERS COLLEGE.
Ajira n kufundisha hamna ktu kingine.
 
Tafuta chuo cha utumishi wa umma utapata. Zipo campus tano ambazo zpo Tanga, Tabora, Dar, Singida na Mtwara. wanakozi tofauti.
 
cCHUO CHA UTUMISHI WA UMA KINAITWAJE? NA BAADA YA HAPO UNAFANYA KAZI GANI
 
Mimi ni mhtimu wa 4.mwaka 2013 na matokeo yangu ni div.4.32 na nimefeli chem kwa kupata E,na math F, Pia nimefaulu engl C,na kisw B,yaliyo baki yote D.Sasa naomba ushauri wako kuhusu kusoma chuo bora na kozi bora yenye ajira
huna hata hazi kua humu jf nenda kalime
 
Tafuta chuo cha utumishi wa umma utapata. Zipo campus tano ambazo zpo Tanga, Tabora, Dar, Singida na Mtwara. wanakozi tofauti.

hapo nimekuelewa sasa nitatumaje maombi na nitaenda kusoma kwa muda gan? Kama una jua website zao nitajie na taratibu za kuwapata hao .Naheshimu majibu yako ...
 
mi nashangaa sana yaan mtu kaomba ushauri badala ya kumsaidia unamuona hafai'ndio kusema ww unaye ponda wenzio unaakili sana?sio vizuri hivyo
 
Mmenisikitisha sana.Hamjui ni mbegu gani mnaipanda katika jamii kwa kumjibu kejeri na kumkatisha tamaa?
Kama hujui ni bora kunyamaza kimxa.Fikiria ni mdogo wako tumbo moja huyo.Halafu unamkuta kawa teja ama mwizi kwa kukosa proper guidance. Nimeumia sana. I am disappointed.
 
je 4 ya 26 ni kufaulu au kufeli??

naimani utakua umenielewa...

Ndo maana kuna good na excellent
ukiichukulia kwa maana hiyo basi mwenye div 0 nae anaweza kuwa ticha
makubwa sipati picha hizo product
teaching ni profession iheshimiwe kama profession nyingine ni hayo tu
 
Back
Top Bottom