Arash charlz
Member
- Apr 23, 2014
- 50
- 1
Uwalimu bila kipangamizi! Tena utachaguliwa BUTIMBA TEACHERS COLLEGE.
Ajira n kufundisha hamna ktu kingine.
Ualimu ndo fani inahitaji watu waliofeli? Kama kusoma kafeli kufundisha ataweza?atafundisha nini?
Uko sahihi!! Lakini nikuulize swali...hawa wanaoenda ualimu ni wale wenye div1???
huna hata hazi kua humu jf nenda kalimeMimi ni mhtimu wa 4.mwaka 2013 na matokeo yangu ni div.4.32 na nimefeli chem kwa kupata E,na math F, Pia nimefaulu engl C,na kisw B,yaliyo baki yote D.Sasa naomba ushauri wako kuhusu kusoma chuo bora na kozi bora yenye ajira
Div 1 hadi 4 ya 26
naimani utakua umenielewa...Ualimu ndo fani inahitaji watu waliofeli?Kama kusoma kafeli kufundisha ataweza?atafundisha nini?
huna hata hazi kua humu jf nenda kalime
huna hata hazi kua humu jf nenda kalime
Ualimu ndo fani inahitaji watu waliofeli? Kama kusoma kafeli kufundisha ataweza?atafundisha nini?
Tafuta chuo cha utumishi wa umma utapata. Zipo campus tano ambazo zpo Tanga, Tabora, Dar, Singida na Mtwara. wanakozi tofauti.
we ndo bure kabisa na hiyo BRN yakousimkosoe mwenzako nawe sema yako kama hujui kaa kimya!
je 4 ya 26 ni kufaulu au kufeli??
naimani utakua umenielewa...