Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Hii mechi ya tarehe 8 kama kungekuwa na uwezekano basi kanuni ingebadilishwa Simba wasicheze na Yanga kwa sababu naona kabisa hii mechi inaenda kuvuruga watu upya kabisa. Simba ndo kwanza inajijenga Sasa hivi yaani imeanza upya wanaenda kukutana na Yanga ambayo Ile Ile ya msimu uliopita lakini mbaya zaidi wameongezeka wachezaji Bora zaidi
Kwa hiyo kwangu Mimi kama ningekuwa na uwezo hii mechi Simba asingecheza na Yanga angetafutiwa timu nyingine ya kucheza nayo lakini sio Yanga naona kabisa inaenda kuvuruga watu - @boiboimkali
#Dimbani
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)