Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Acha waijie vitano hao.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Wale wa basic maths mukuje huku jamani
Ati
Mwezi wa tano akapewa bao 5
Mwezi wa nane kimahesabu atapigwa ngapi??
Nikokwawakalaaa kama huamini
Hii mechi itakuwa ya miujiza aijawahi tokeaa watu watatfuta geti ya uwanja wa taifa pakutokea wasipaone
Nashauri uwepo ulinzi mkubwa sana kulinda wachezaji na viti
Yanga inaenda kufumua mshono tarehe 8 iko wazi, hasira na povu havitasaidia, dawa ni moja tu, simba kukimbia tu nje kabisa ya bongo kama Burundi maana ikijificha bunju tutaenda kupiga nao mbungi la ndondo huko huko mchangani!!Huyu naye ni mchambuzi wa soka ama ni shabiki andazi kama maandazi mengine?
No wonder taifa haliendeleiWale wa basic maths mukuje huku jamani
Ati
Mwezi wa tano akapewa bao 5
Mwezi wa nane kimahesabu atapigwa ngapi??
Nikokwawakalaaa kama huamini
Hii mechi itakuwa ya miujiza aijawahi tokeaa watu watatfuta geti ya uwanja wa taifa pakutokea wasipaone
Nashauri uwepo ulinzi mkubwa sana kulinda wachezaji na viti
Inatisha sana.Hii mechi ya tarehe 8 kama kungekuwa na uwezekano basi kanuni ingebadilishwa Simba wasicheze na Yanga kwa sababu naona kabisa hii mechi inaenda kuvuruga watu upya kabisa. Simba ndo kwanza inajijenga Sasa hivi yaani imeanza upya wanaenda kukutana na Yanga ambayo Ile Ile ya msimu uliopita lakini mbaya zaidi wameongezeka wachezaji Bora zaidi
Kwa hiyo kwangu Mimi kama ningekuwa na uwezo hii mechi Simba asingecheza na Yanga angetafutiwa timu nyingine ya kucheza nayo lakini sio Yanga naona kabisa inaenda kuvuruga watu - @boiboimkali
#Dimbani
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
View attachment 3056988
Timu zote chief 😃😃Mashabiki wa timu Gani mkuu