Bora ligi inakwenda kuanza huku nikishuhudia washabiki mkianza kukonda hua nainjoi😂😂😂😂😂Hii mechi ya tarehe 8 kama kungekuwa na uwezekano basi kanuni ingebadilishwa Simba wasicheze na Yanga kwa sababu naona kabisa hii mechi inaenda kuvuruga watu upya kabisa. Simba ndo kwanza inajijenga...
Nilifikiri ID zinaficha watu, kumbe huwa unawaona?😂😂😂Bora ligi inakwenda kuanza huku nikishuhudia washabiki mkianza kukonda hua nainjoi😂😂😂😂😂
Huyu naye ni mchambuzi wa soka ama ni shabiki andazi kama maandazi mengine?Hii mechi ya tarehe 8 kama kungekuwa na uwezekano basi kanuni ingebadilishwa Simba wasicheze na Yanga kwa sababu naona kabisa hii mechi inaenda kuvuruga watu upya kabisa...
Mlisema haya haya ngao ya jamii mwaka jana ila Simba alimkanda uto na akabeba ngao.Wale wa basic maths mukuje huku jamani
Ati
Mwezi wa tano akapewa bao 5
Mwezi wa nane kimahesabu atapigwa ngapi??
Nikokwawakalaaa kama huamini
Hii mechi itakuwa ya miujiza aijawahi tokeaa watu watatfuta geti ya uwanja wa taifa pakutokea wasipaone
Nashauri uwepo ulinzi mkubwa sana kulinda wachezaji na viti
Hiyo ni mambo ya kizamani sana,timu bora inashinda tu...........msimu uliopita kwa namna Simba ilivyokuwa hata wangecheza mechi kumi zote wangepigika..........wanasimba endeleeni kusikiliza ubora wa timu yenu kupitia media tu msije shangaa mnakula nane siku ya nane nane😀Nikweli uliyosema rafiki,lakini timu hizi mbili za Kariakoo zina vyanzo vya ushindi vingi.Usijeshangaa siku ya tarehe 8 simba wakawazidi Yanga katika vyanzo vingine.
Vyanzo Gani?Nikweli uliyosema rafiki,lakini timu hizi mbili za Kariakoo zina vyanzo vya ushindi vingi.Usijeshangaa siku ya tarehe 8 simba wakawazidi Yanga katika vyanzo vingine.
Pamoja na vyanzo vingu vya ushindi walivyo navyo hizi timu, lazima awepo favourite ktk kila mechi wanapokutana. Kwa Sasa yanga anauwezo mkubwa wa kushinda kuliko Simba japo Simba anaweza kushinda pia.Nikweli uliyosema rafiki,lakini timu hizi mbili za Kariakoo zina vyanzo vya ushindi vingi.Usijeshangaa siku ya tarehe 8 simba wakawazidi Yanga katika vyanzo vingine.
Hamna hayo mambo hivi sasa,na msijaribu mambo yenye madhara kwa binaadamu yeyote.Kwani mbinu zote chafu zipohadharani kwa uzoefu wa matukio ovu yanayotokea.Nikweli uliyosema rafiki,lakini timu hizi mbili za Kariakoo zina vyanzo vya ushindi vingi.Usijeshangaa siku ya tarehe 8 simba wakawazidi Yanga katika vyanzo vingine.
Lazima Simba wakazwee