Boiboi mkali: Natamani Simba wasikutane na Yanga tarehe 8

[emoji23][emoji23]
 
Huyu naye ni mchambuzi wa soka ama ni shabiki andazi kama maandazi mengine?
Yanga inaenda kufumua mshono tarehe 8 iko wazi, hasira na povu havitasaidia, dawa ni moja tu, simba kukimbia tu nje kabisa ya bongo kama Burundi maana ikijificha bunju tutaenda kupiga nao mbungi la ndondo huko huko mchangani!!

Magoli ya Yanga yatakuwa ni even numbers yaani 2 , 4, 6 au 8.

Kinachoua Simba kwenye derby za siku hizi ni masifa, shauku na ari ya wachezaji hasa wa kigeni wa Yanga ambao wana uwezo mkubwa na wamejua ukiifunga Simba raia wanacheka meno yote, wanainua mabega, wanakupenda na kukusifia sana mitandaoni na viongozi wa klabu wanakupa mkataba mpya mnono zaidi!!

Bongo Mpira unalipa sana kwa wageni, hakuna anaetaka kurudi kwao. Haya yote namaanisha Dube atapiga hat trick derby ya tarehe 8 , niko paleee maskani Buza Mpalanger!!
Simba kwanini msikimbie aibu hii kubwa na maumivu makali?
Simba chagueni kilicho bora, kutoka nduki!!
 
No wonder taifa haliendelei

What a waste of a person

Hata BAM haiko shallow hivi
 
Inatisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…