Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

Hili watu hatupendi kulisikia hata kidogo. Pamoja na kuwa hawa jamaa wanajiweka wazi kabisa wao ni akina nani bado tunawasema usa na cia. Haya maajabu yanapatikana afrika tu
Boko haram ni waislam,wenye msimamo mkali
 
Usilinganishe Zanzibar ambayo ni kama kamkoa kamoja tu...na Nigeria yenye watu zaidi ya Million 170....
Unazungumzia Osama...unajua Marekani na nguvu zake zote za kijeshi na kiteknologia imechukua miaka mingapi kumtafuta na kumpata Osama???
 
bahati mbaya uzi huu utasomwa na watu wachache lakini kuna mengi ya kufanya kutokana na ulichoandika ili tuanze kujipanga kwa nyakati zijazo.
hongera binafsi natamani kukuona kwa majadiliano kwakuwa uzi wako umeniacha na kazi nyingi za kufanya.
nitaendelea kuchangia lakini kwanza wacha akili ipunguze maumivu kwanza nitarudi tena.
 
nikweli sisi waafrika tunayo matatizo yetu.mfano ubinafsi,rushwa nk.ila haya matatizo huzidi pale kunapotokea shinikizo kutokea nchi matajiri..
mfano indirect colonization....siku hizi tunaongozwa na vibaraka wa wazungu.marais wengi wa africa hawakohoi mbele ya wazungu.wao hupewa misaada na kuambiwa watulie kimya na wapotezee masuala muhimu ya waafrica wenzao.mfano umoja wa africa mbona bado ni jina tuu...??...hatuna hata free passport ya nchi zote sisi waafrica??.basi ata tuungane tuwe kama marekani bado jibu ni kimya.unadhani ni kina nani wapo nyuma ya pazia. ili kukwamisha maendeleo ya africa wazungu wameshawateka akili viongozi weng.hata huko uarabuni ndo kinachotokea mpaka vita haviishi ni kwamba mzungu ataka abakie kuwa yeye ndo kiumbe bora hapa duniani..soo usije fumbia macho uozo wa wazungu na kuishia kuwalaumu waafrica wenzio...
hivi unajua maana ya "divide and rule law"...tunateseka kwa sababu waafrica hatujaelimishwa.na kosa ni la viongozi wetu wanaozidi kutupatia elimu duni hadi leo hii.tumeshindwa kuzijua mbinu za mzungu za kututawala sisi waafrica kwa remote controll
 
Usilinganishe Zanzibar ambayo ni kama kamkoa kamoja tu...na Nigeria yenye watu zaidi ya Million 170....
Unazungumzia Osama...unajua Marekani na nguvu zake zote za kijeshi na kiteknologia imechukua miaka mingapi kumtafuta na kumpata Osama???
hata rwanda ni kama mkoa mmoja tuu hapa Tz lakini vita ilitokea.tena vita mbaya alaf hawa walikua ni wakristo...
so usiidharau zanzibar japokuwa ina watu wachache..vita ni vita tuu.haiangalii mpo wangapi au mlikufa wangapi.soo tafakari sana maneno yako
 
Usilinganishe Zanzibar ambayo ni kama kamkoa kamoja tu...na Nigeria yenye watu zaidi ya Million 170....
Unazungumzia Osama...unajua Marekani na nguvu zake zote za kijeshi na kiteknologia imechukua miaka mingapi kumtafuta na kumpata Osama???
marekani ilichukua mda mrefu kumpata osama kwa kuwa alikua mtu wao wa karibu.na kwahiyo alikua akizifahamu mbinu karibua zote za wamarekani katika ujasusi...osama alikua cia wa marekani kama sikosei
hivyo tutegemee na hawa vikosi vya boko haram pia huwa vinapewa mafunzo toka marekani.
 
nashukuru kwa kuuelewa vyema uzi huu. nia yetu ni kuamsha fikra za jamii yetu...karibu tegeta.ndo makazi mkuu!!
 
Lakini na sisi waafrika tunao kubali kusaliti nchi zetu kwa nini tusikatae?
Kama Afrika tumeliona hili kuwa tatizo kwa nini tusiungane kukataa huu upuuzi wa ki magharibi?
Mtaacha lini huu upuuzi wa ku quote uzi mrefu sana hivi? Kwani uki comment bila ku highlight hukati kiu yako??.... Mnaboa sana
 
No kweli kabisa wakuu. Na si boko haram tuu, hata ISIS, TALIBAN, na magenge yote ya wasiojulikana ni Mali ya wamarekani. Wanawajengea chuki na uhasama nyinyi kwa nyinyi wakati nyie mnachinjana wao wako bize na madini, mafuta na nyara nyinginezo za umma. Kuna simulizi nyingi za kihistoria kudhibitisha hili. Vigo vya watu kama marehem Patrice Lumumba ,Captain Thomas Sankara,Gaddafi na wengineo wengi ni udhibitisho wa hili. Hivyo basi mshikamano wa kitaifa ni jambo muhimu Sana wakati huu, tofauti na hapo watatumaliza, tutakwisha kabsaaa
 
Mtaacha lini huu upuuzi wa ku quote uzi mrefu sana hivi? Kwani uki comment bila ku highlight hukati kiu yako??.... Mnaboa sana
Chumvini bana nilisha omba msamaha na kusamehewa. Vp ndugu mbona unafukua makaburi?
 
historia inatumaliza sana, imetufanya tuwe wanyonge na tusijiamini hata kwa yale madogo tunayoweza kufanya.
  1. kutawaliwa kwetu na watu weupe kumetufanya hatuwezi kurudi katika asili yetu. wengi bado tunawaamini wazungu na waarabu kuwa wao ndio wenye akili na uwezo mkubwa na sisi tunawategemea wao na matokeo yake tumejikuta tukifanya yafuatayo:-
    • kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa kupandikiziwa chuki, nakumbuka miaka ya nyuma ITV walikuwa wanaonyesha thamthilia au sijui sinema furani jina maarufu tulikuwa tunaiita kunta kinte hii picha natamani irudi tena sokoni japo kiukweli haiwezi kuwa na waangaliaji wengi kwakuwa kizazi tulichonacho hakipendi kufikiria sana kiko bize mno hivyo wao wakiangalia sinema za vita wasizozijua zimetokea wapi na nyingi zikieleza mazingira ya wazungu wanaona wamepata. kilichonivutia katika picha hii ni kuona wazungu wanaanza kupiganisha kuku kisha wanawapiganisha waafrika ikiwezekana mpaka mmoja afe halafu wao ndio furaha yao. sasa hii hakuna tofauti na sasa sema kwa sasa wanaiweka kwa maslahi ya uchumi zaidi.
    • tumekuwa watu wa kujipendekeza sana kwa wazungu na tunaamini eti bila ya wazungu hakuna tunachoweza. miaka ya nyuma wakati nasoma shule ya msingi nilijengwa kuchukia tekinolojia ya kuiga kuwa haileti ufanisi lakini nilivyofika chuo na hapa ufahamu wangu ushakuwa mkubwa ndo naambiwa kuiga ndio kwa maana. nakumbuka masimulizi ya mtu mmoja wa karibu yangu wakati nyerere alivyotembelea banda fulani na kisha kwenda kwenye banda la SAHARA GROUP jinsi alivyoweza kuyatofautisha kwa jinsi gani Antony alionekana anafanya vizuri kuliko huyo mtu wakati huo na akimwambia hakuna jipya analolifanya hapa kila kitu umekopi hakuna ulichoongeza na unatengeneza under license hivyo huna jipya na hakutumia muda mrefu pamoja na kuwa na banda bora. ninachokitaka kusema tumekuwa tuko tayari kufanya chochote kile ili kumfurahisha mzungu hata ikiwa tutaathiri vizazi vyetu na mwisho wa siku wazungu huwa wanatucheka na kuendelea kutuita sisi maskini tunahitaji kusaidiwa.
    • tumejengwa kwenye ubinafsi na ukatukaa kiasi kwamba hatutazami utu wetu ila makundi yetu. mimi ni mkatiliki kwa dini na kwa mpira mimi ni mshabiki wa Yanga katika vyama bado sipo popote, lakini makundi yanayofanana na haya yametutengnenezea uadui usio na maana tena afadhari haya vurugu zake sio kubwa lakini kwa ujumla wake kila kundi linajiona bora na kusababisha madhara kwa wengine kwa kujenga dharau na hapa ndipo hawa jamaa wanapotumia fursa za makundi haya kutujengea chuki na ubinafsi na kutugawa kisha wao kupora raslimali zetu.
    • hatuoni shida mwingine kukosa na wewe peke yako ukakosa hata kama katika maisha yako hautavitumia vyote. mfano una umri wa miaka 60 unautajiri wa bilion 1000 ulioupata kwa kudhurumu wengine madawa ya kulevya na biashara zozote zilizotuumiza au kuwaumiza wengine hizi sinakusaidia nini ikiwa katika umri huo ukiishi sana ni miaka 20 lakini huku ukiandamwa na kisukari,pressure, na magonjwa mengine ya uzee? sisemi kuwa kila anayeumwa magonjwa haya ni mwizi hapana wengine yamechangiwa na hawa wezi kwa kujilimbikizia na kusababisha sononi na matokeo ya nje ndio hayo magonjwa. watawala wengi wamekuwa sio waaminifu na kusababisha mpaka leo haya yatupate.
  2. kutotambua thamani yetu kama watu binafsi,jamii,taifa na afrika kwa ujumla.
    • wengi hatuna mipango na mikakati ya maana katika maisha yetu na wakati mwingine hatujui tunataka nini na kwanini na kwa muda gani na tufanyaje ili tufikie tunachotaka? matokeo yake tupo tayari kufanya chochote ikiwa na kuwa tayari hata kuatarisha maisha binafsi na ya taifa kwa ujumla kwa kuwa hatukujua mwisho kabla ya mwanzo. mtu haoni tabu kutoa siri za nchi kwa ajiri ya mkate wa leo ambao utasababisha yeye kutawaliwa siku zote.
    • wapo watu kwenye jamii yetu wanamipango mizuri na wanaweza kubadilisha jamii lakini nao wamelemaa na kufanya kama wengine kwa kuwa na wao wamezoea kufanya kwa mazoea. matokeo yake wamekufa kwa uzinzi, ulevi wa kupindukia na stress za maisha huku ndoto zao au mawazo yao hayakupata fursa ya kutekelezwa na wao hawakuwa tayari kutafuta njia mbadala. mfano wasomi wetu wengi wanajua kuandika na kueleza umaskini wetu lakini imekuwa tabu kidogo kuleta tafsiri sahihi kwa tabaka linalokutana na hizo changamoto za kila siku wao wanaona poa tu kuwaandika wazungu wakalipwa fedha za kutosha wakawaacha wafrika wenzao maskini na sisi tukawazika wakiwa na elimu zao ambazo zimeishia kutuangamiza kwa wakoloni huku wao wakitumalizia ardhi yetu ya kulima kwa makaburi ya kifahari lakini yamehifadhi mifupa ambayo haikutumika wakati ikiwa hai na wamebaki kimya si kwa ukimya wa yai utatoa kifaranga hapana bali kwa mifupa mitupu inayosubiri baada ya miaka mia tatu mbele vitukuu vitapimiana viwanja chini ya hayo makaburi kwa kuwa uhitaji wake hautakuwepo lakini hebu angalia leo wale wasomi walioleta mabadiliko katika dunia bado tutawakumbuka. naamini kwame nkuruma itachukua muda kumsahau kwa mtazamo wake wa kutaka afrika iungane na hata gadafi kwa kutaka afirka ijipange kujitegemea. hivyo wasomi wajipange na wajipime kama thamani yao inakidhi mabadiliko chanya ya jamii.
    • lmefika mahali lazima tujue nini tunaweza kufanya na nini hatuwezi na nani anaweza nini ili tujue kipi tunaitaji kujitegemea kama mtu binafsi,jamii,taifa na afrika kwa ujumla ili raslimali zilizopo zitumike kwa waafrika kwanza na sivinginevyo nawapenda wachina hata kama wao hawawezi wakitengeneza kinachofanana watakibadilisha jina kutoka mfano nokia wao watakita nakia kabla ya kesho kuja na bland name yao mtakayoikubali inayoitwa ho! sasa nafikiri tufike huko pia.
    • tumekubali kugawanyika kwa kuwa vibaraka kwa sababu eti ya kuwambiwa sisi ni maskini wa kutupa utafikiri wao hakuna wanachohitaji kwetu. taifa la Israeli kwa kadri ya masimulizi ni watu waliopigana vita nyingi sana na shida nyingi sana na hili limewafanya wao kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kutawala na muda mwingi hawakuwa na mali nyingi na hata nchi yao pia haikuwa kubwa katika ardhi lakini kwa uvumilivu huo leo wako mbali. hata china nao kuwa tayari kuvumilia na kutumia vizuri soko la ndani na taifa kufundishwa kutumia vya ndani kumesaidia sana kuwa taifa kubwa na kwa sasa wanatawala uchumi wa dunia ambao marekani wanawaogopa kwa kuwa wako mbali sana na hii ni kutokana na uwekezaji wa muda mrefu waliofanya afrika sasa leo wamarekani wanatutumia na sisi tunawaona wamaana sana shame upon us!
yapo mengi ya kuongea lakini kwa bahati mbaya wengi hawapendi kusoma mambo marefu labda tuangalie nini tufanye japo inaweza kuchukuwa muda lakini bora tuchelewe lakini tufike:-
  • lazima tujivue utumwa na kutokukubali kubuluzwa na kupelekeshwa na weupe kisa walitutawala
  • tofauti zetu za makundi zisisababishe tukachukiana na kutodhamini utu wetu na hapa watu wa mbagala wanakwambia hasara roho fedha makaratasi yani tusiwe tayari kufedheheka kwa jaili ya fedha chache ambazo hazitufikishi kokote.
  • kila mmoja awe tayari kufanya mabadiliko yake binafsi, familia,jamii na taifa kwa ujumla ili tuwe na dira itakayotupeleka tunakotaka kama taifa na afrika kwa ujumla.
  • lazima afrika tuchague viongozi tunaoamini wanaweza kusimamia maslahi ya afrika na sio wanaoweza kuuza bara letu kwa maslahi yao binafsi, bora tuumie kwa muda mrefu lakini kuwe na uelekeo tunaouamini.
  • tufikirie jinsi ya kumaliza migogoro yetu ya ndani kwa majadiliano tukijitegemea wenyewe kiukweli huwa sielewi tukipisha kidogo hao kwa wazungu kiukweli naamini wanatucheka
  • lazima tutengeneze viongozi toka wadogo na sio hawa tunaowekewa na wazungu.
  • tutumie vizuri soko la ndani kwa bidhaa zetu na kisha tujenge uchumi imara kwa maslahi yetu
yapo mengi lakini kwa kifupi tunahitaji kujitazama upya tukijenga uchumi imara kwakuwa ndio chanzo cha migogoro yote hii na tusikubali kugawanyika katika misingi ya dini kwa jinsi yoyote ile kwa kuwa vita ikiunganishwa na dini inakuwa ngumu zaidi nadhani mnakumbuka ile vita baridi ya uchinjaji wakristo walivyogoma kula nyama buchani nini kilitokea lakini mwisho busara zilitumika na tukaendelea kuelewana.

 
nashukuru kwa kuuelewa vyema uzi huu. nia yetu ni kuamsha fikra za jamii yetu...karibu tegeta.ndo makazi mkuu!!
niko dom siku nikija dar nitakutafuta natamani jamii ielewe kwa kuwa tuendako na hii east afrika inavyokuwa kila siku kwa kuongeza mataifa wazungu hii kitu hawataipenda kabisa hivyo chochote kinaweza kutokea kunahitajika kelele nyingi ili jamii yetu ielewe
 
karibu sana mkuu.ila suala la kuongezeka kwa taifa la sudan kusini ni kazi ya marekani na ulaya...hiyo ilikua ni fimbo kwa rais wa sudan Omar El Bashir kw kuwanyima wazungu kazi za mafuta na kuwapa wachina..soo ukiona nchi imepasuka ni wao wameipasua koz wao ndio walioweka hiyo mipaka..nchi kama inawapatia mahitaji yao ningumu wao kuipasua au kuiletea chokochoko ili kuuondoa utawala uliopo
 
kiukweli.tukiweza kumdharau mzungu basi tutafika mbali.ila tukizembea basi tujue vizazi vijavyo vitatudharau kama sisi tunavyoona mababu zetu kuwa mazezeta kutawaliwa na wazungu.mzungu ndiye aliyeifanya africa kuwa hapo ilipo.mwarabu wala hana wivu kiasi alicho nacho mzungu....hawa wazungu wamezidi.na ndo vinara wa choko choko duniani kote...kisa na mkasa ni kuiba mali za watu na kuwaletea umaskini kwa kuharibu miundo mbinu ili nchi ije kuwapigia magoti ulaya na marekani
 
Alieandika hii kitu nmemkubal,naona sasa taratib tunaanza kuelewa whats goin on kwenye ulimwengu uliojificha hapa dunian..haya wengne tunayajua mda mref ila ukijarib kuyasema hapa utaskia mtu anakwambia hyo ni stor ya vijiwen,ama hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo.so..hongera sana ulieandika uzi..i can see the light is shining now kwa watz
 
imekula kwao MUNGU ameifanya afrika mashariki kuwa lango la africa sintashangaa siku si nyingi hiyo sudan nyingine ikajiunga na afrika mashariki.
kinachotakiwa tuwe na viongozi ambao wawe tayari kuwadharau wazungu mpaka washangae kwani china na japan walianzaje au nchi za korea ilikuwaje miaka ya 70 hatukuwa tumetofautiana sana wenzetu walivyoamua kujituma na kutambua wafanyaje ndo wakatupiga gap.
hivyo lazima tujipange na huu uzi ututie hasira ya kujua nafasi yetu isipite siku bila kufanya kitu kwa jamii hata ikiwa ni kwa kumwambia mtu ni kwajinsi gani anaweza kujikomboa kiuchumi mwambie unaweza kisha itazaa matunda tu.
 
kwel kabsa.lazma hasira zipande kwa elimu kama hii
.sema tatizo hawa viongoz wetu nao ni kama wamebariki huu uozo ndani ya africa koz wanakaa kimya kwa madudu ya africa.ni kama hawayaoni...ila tuwe na matumaini ya kupata viongozi wazuri siku za karibun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…