Bollywood | Special Thread

Bollywood | Special Thread

Je! sanaa ya uigizaji ya INDIA imegawanyika?

India kuna Industries nyingi sana za filamu, Hii Bollywood (Hindi Film Industry) ndio tulioizoea sisi mana ndio maarufu zaidi world wide. Ila kuna Industries nyengine kama Tamili Film Industry, Telugu Cinema, Malayalam Cinema, Kannada Cinema, Bengali Cinema, Punjab Cinema, Marathi Cinema na nyenginezo. Na hata Pakistan nako ipo Industry yao.

Ni kama vile Bongo Tuwe na Industry kubwa Dar es Salaam ya michezo ya kiswahili, Napia Mwanza kuwe na Industry ya Michezo ya Kisukuma, Iringa pia kuwe na michezo ya KIhehe. Mfano wake ndio kama hivo.
 
Je! sanaa ya uigizaji ya INDIA imegawanyika?
Wajinga sana watu hawa😅
FB_IMG_16565968985342666.jpg
 
Sharuk Khan. Moja ya waigizaji nguli ambao Bollywood imekuwa nao.
Kipindi tunakuwa lazima uwe na lakusema kUhusu hawa jamaaaa nimewaandika Kama tulivyokuwa tunawatamka

Mitsun Chakaraboti.
Amitha Bachnan
Ajay
San Deo
Govinda (Yaya)
Mzee Deni
Kuna yule mzee ananyoa upala ana bichwa kubwa ni villain mara nyingi kacheza ktk Mohra
Jekshirofa
Zalumenda
Akshay na Sunil Sheti
Mzee Ashanti
Sunjay dutty
Samal Khan
Amir khan
John liva
Shilpa Shetty
Kajor
Kareena Kapor
Yule mkewe na Amita ( kaeti naye picha nyingi)

Story kali.
Kuchkuch Hotae
Abigush Abigum
Karhonao
Mohabatein

Udhaifu mkubwa ni racism. Hawapendi kuonesha watu weusi. Hata John Lever alikuwa cast ktk role za ucheshi na hazikumlipa kama waliomkuta ktk gemu. He was made to be insignificant actor.
 
Mitsun Chakaraboti. - Mithun Chakraborty; Amitha Bachnan
Ajay - Ajay Devgan; San Deo - Sunny Deol
Govinda (Yaya); Mzee Deni
Kuna yule mzee ananyoa upala ana bichwa kubwa ni villain mara nyingi kacheza ktk Mohra - Amrish Puri?
Jekshirofa - Jackie Shroff; Zalumenda - Dharmendra
Akshay na Sunil Sheti - Akshay Kumar
Mzee Ashanti; Sunjay dutty
Samal Khan - Salman Khan; Amir khan
Kajor - Kajol Devgan Kareena Kapor - Kareena Kapoor
Yule mkewe na Amita ( kaeti naye picha nyingi) - Jaya Bacchan
John liva - Johnny Lever
Shilpa Shetty
 
Baadhi ya filamu mpya zinzotarajiwa kutpka siku za mbeleni au zilizotoka karibuni
SRK akirudi dimbani baada baada ya miaka 4.

Tamil ndio habari ya mjini saivi, Bollywood wanaanza kuachwa mbali na hawa jamaa wa Tamil. Ushahidi hayo ni jinsi gani movie 3 za Tamil zilivokuwa succesful. Movie hizo ni
1. Pushpa the Rise
2. KGF chapter 2
3. RRR
 
south indian muvi zao kali sana.
actors wake wametulia kulia hawa wahindi weupe.
kuna ile muvi naipenda sana jamaa wawili walipigwa tukio moja kwenye bus.
mmoja akafa ambae mama yake alikuwa daktari.ikabidi amtoe sura mwanae amvalishe yule mwingine ambae alikuwa bado mahututi.

jamaa baada kuamka anajikuta na sura ingine.akalipiza kisasi chake then akalipiza na kisasi cha yule alieuliwa!ambae alipewa sura yake.

wale jamaa wote katika hiyo muvi ni moto wa kuoetea mbali.

wahindi weusi list yao hiyo hapo.
mithun chakraboty.
rajnkant (inspector hussen)
na wengine wengi sana.

directors wakali weusi ni yule anaecheza sana muziki nadhani INDIA nzima hakuna anaemfikia.

muvi kali kama ROWDY RATHORE ametengeneza yeye!
na zingine zingine kali sana.

kwa wahindi ukija kwenye storyline zao kwenye muvi wazungu hawafikii hata robo.amini usiamini.

tafuta muvi ya SRK inaitwa BILLU uone storyline jinsi mtu alikaa akatumia akili
 
Ila wewe umeelekea ni mpenzi wa Shah Rukh Khan (SRK). Mashabiki wake wanaitwa SRKians
Nimeacha kufatilia movie kidogo kulingana na mazingira. Ila mpaka sasa nafkri story konki nyingi za bolhood zinaongozwa na Sharuk.

Nilifanikiwa kuona movie yake ya kwanza kabisaa. Alicheza na SanDeo kama sikosei. San Deo alienda ulaya huko jamaa akaanza toka na mke au mchumba wa SanDeo. Alibadilisha mazingiravflan ya story. Pia kutoboa kwake haikuwa easy ni muislam na wahindi na waislam si unajua tena
 
Mitsun Chakaraboti. - Mithun Chakraborty; Amitha Bachnan
Ajay - Ajay Devgan; San Deo - Sunny Deol
Govinda (Yaya); Mzee Deni
Kuna yule mzee ananyoa upala ana bichwa kubwa ni villain mara nyingi kacheza ktk Mohra - Amrish Puri?
Jekshirofa - Jackie Shroff; Zalumenda - Dharmendra
Akshay na Sunil Sheti - Akshay Kumar
Mzee Ashanti; Sunjay dutty
Samal Khan - Salman Khan; Amir khan
Kajor - Kajol Devgan Kareena Kapor - Kareena Kapoor
Yule mkewe na Amita ( kaeti naye picha nyingi) - Jaya Bacchan
John liva - Johnny Lever
Shilpa Shetty
Nimeyaandika kama tulivyokuwa tunatamka kipindi hicho hahaaaaa
 
Mitsun Chakaraboti. - Mithun Chakraborty; Amitha Bachnan
Ajay - Ajay Devgan; San Deo - Sunny Deol
Govinda (Yaya); Mzee Deni
Kuna yule mzee ananyoa upala ana bichwa kubwa ni villain mara nyingi kacheza ktk Mohra - Amrish Puri?
Jekshirofa - Jackie Shroff; Zalumenda - Dharmendra
Akshay na Sunil Sheti - Akshay Kumar
Mzee Ashanti; Sunjay dutty
Samal Khan - Salman Khan; Amir khan
Kajor - Kajol Devgan Kareena Kapor - Kareena Kapoor
Yule mkewe na Amita ( kaeti naye picha nyingi) - Jaya Bacchan
John liva - Johnny Lever
Shilpa Shetty
Inaonekana na wewe ni mdau. Hivi unajua au ulifatilia inshu ya Kajol na Sharuk?
Baada ya movie ya Kuch Kuch Hotae?
Nakumbuka kuna jamaa mmoja alikuwa mpaka ananunua magazeti yale majarida ya kihindi kipindi hicho kuhusu Kajol na Sha.
Inasemekana walianza mahusiano. Wakati Kajol alikuwa mke wa ndoa wa Ajay.
Ikapelekea mpka talaka kama sikosei...
 
Pia kutoboa kwake haikuwa easy ni muislam na wahindi na waislam si unajua tena
Na hakuwa na godfather kwenye movie industry, alipambana mwenyewe kwa kiwango kikubwa.

Alianza na television shows, lakini aliyempa chance ya kwanza ni yule mchezaji Hema Malini.
 
Inaonekana na wewe ni mdau. Hivi unajua au ulifatilia inshu ya Kajol na Sharuk?
Baada ya movie ya Kuch Kuch Hotae?
Nakumbuka kuna jamaa mmoja alikuwa mpaka ananunua magazeti yale majarida ya kihindi kipindi hicho kuhusu Kajol na Sha.
Inasemekana walianza mahusiano. Wakati Kajol alikuwa mke wa ndoa wa Ajay.
Ikapelekea mpka talaka kama sikosei...
Mimi ni mdau mkubwa wa SRK.
Siyo kweli ni rumors tu. SRK na Kajol wametengeneza movies nyingi pamoja baada ya Kuch kuch hota hai, ya karibuni ilikuwa Dilwale (2015). Wahindi wanawapenda sana pair hii.

Movie yao ya kwanza kuwapa umaarufu ilikuwa Baazigar (1993) lakini ambayo imevunja rekodi ni DDLJ (DIlwale Dulhanai le Jayenge?) ya mwaka 1995. Movie hii mpaka hii leo baada ya miaka 27 kila siku inaonyeshwa kwenye theater moja inaitwa Maratha Mandir theater.
 
Dilwale Dulhania Le Jayenge ni moto wa hatari sana ule, story imepikwa ikawiva.
 
Back
Top Bottom