Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Mbona huwa inaonesha location ya gari lilipo na alop mteja shida iko kwenye niniView attachment 3635564
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .
Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na kuanza kuelekezana yalishapitwa na wakati
HakikaIkiwezekana wale Kozi ya Geography Miaka 3 chuo
Watu wanaenda hadi mikoa ambayo hawajawahi fika kwa ramaniSimu zenu mnakuwa mmeweka location on vizuri na pia hakuna VPN? Au una zima VPN chap na kuwasha location muda huo huo unao request? Hapo lazima dereva ataona chenga chengaa..
Kingine, Bolt ni kwa dereva yoyote aliepo karibu, Ina pick kumbe dereva ni mgeni mitaa hiyo... Ametoka kumshusha mtu. Hapo lazima ajichanganye kwenye kukutafuta.
Sidhani kama vpn inabadili location kwenye gps..Simu zenu mnakuwa mmeweka location on vizuri na pia hakuna VPN? Au una zima VPN chap na kuwasha location muda huo huo unao request? Hapo lazima dereva ataona chenga chengaa..
Kingine, Bolt ni kwa dereva yoyote aliepo karibu, Ina pick kumbe dereva ni mgeni mitaa hiyo... Ametoka kumshusha mtu. Hapo lazima ajichanganye kwenye kukutafuta.
Sidhani kama vpn inabadili location kwenye gps..
Kuna hii una'request unampigia hadi simu....anakuuliza imesoma kwako shilingi ngapi unamjibu...anakuambia mimi siendi kwa hiyo hela🤔Huwa wanazingua sana , mtu ana accept anakuja halafu anakuuliza unaenda wapi? Unamwambia naelekea kama ramani invyoonyesha ,anasema huko ndani ndani siendi Cancel ,ukizingatia umemsubiri karibu dakika 5.
Kitu kingine kwa Bolt waongeze option ya maoni kwamba Dereva amekataa kunipeleka kwasababu nimechoose option ya kulipia kwa Kadi....Madereva wengine wakiona unalipia kwa kadi wanakataa ,katika ulimwengu huu wa digitali siyo salama kutembea na Cash ,muda mwingine unajaza kadi hela kwa ajili ya trip za hapa na pale.
View attachment 3635564
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .
Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na kuanza kuelekezana yalishapitwa na wakati
😂😂Fuata ramani nipo nyuma ya kituo cha mwendokasi mwanamboka