HOJA Bolt fundisheni madereva kufata ramani kuepusha usumbufu

HOJA Bolt fundisheni madereva kufata ramani kuepusha usumbufu

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna route moja walinipa kwa 3,000 boda nikamwelekeza short cut akasema ninafuata route. Ikawa mbali sana nikamwambia umekosea njia, kufika ananiambia imebadilika kutoka 3k mpaka 6k.
Nikampa 3k nikamwambia hiyo nyingine kamdai mama yako mimi sikukutuma ukosee route
 
Mnaulizwa mpo wapi ili mtu apite njia ya short cut aje akufutate sas wew unaona shida kuja ulipo
 
Mnaulizwa mpo wapi ili mtu apite njia ya short cut aje akufutate sas wew unaona shida kuja ulipo
Hiyo nikero ,, vyote anatakiwa kuviona kwenye app, ulipo, na pendekezo la njia za kukufika, Tatizo elimu
 
Back
Top Bottom